utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,830
- 2,417
Hakika. Nimeamini. Ukombozi hauji kirahisi rahisiNdio ukisikia demokrasia ina gharama uelewe kwa mtazamo mpana!
Hayo makosa yameonekana baada ya lowasa kurudi nyumbani paliponoga,huko nyuma hayakuonekana?Siyo hivyo mkuu!
Iissue ipo hivi: Ile kesi kulikuwa na dosari za kisheria kuu mbili iliyofanya kurudishwa Mahakama ya Kisutu kwa ajili ya marekebisho ambazo ni:
1. Ni kutoonekana jina la mshitakiwa namba tano akisomewa maelezo ya mashahidi na vielelezo vilivyowasilishwa mahakamani hapo.
2. Dosari nyingine ni pamoja na amri ya mahakama kutoorodhesha majina ya washitakiwa kwa mujibu wa kanuni za mahakama kuu kitengo chamakosa ya rushwa na uhujumu uchumi.
Hakimu mkazi mkuu, Huruma Shaidi amesema atafanyia marekebisho hayo na kurudisha jalada la kesi hiyo leo Mahakama Kuu kitengo cha makosa ya rushwa na uhujumu uchumi kwa ajili ya kuendelea na taratibu nyingine.
Kesi hiyo itaendelea Machi 13 Mahakama Kuu kitengo cha Nakosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi.
Poti huwa nakuamini....And if all goes well, leo DPP anakuja na Nolle.
P
Kumbe yeye ndio anamiliki wale wasiojulikana...!!! Sasa kama rais anajihusisha na vitendo vya kihalifu hivi kweli katiba inaweza ikamlinda? I don't think so, and if that's the case then I think that katiba is nothing but a worthless pamphlet.Ngoja nisichangie..wenda jiwe akaja nitafuta nikapotezwa na wasiojulikana ukawa ndio uzi wangu wa mwisho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani jiwe ni Mahakama?Walivyopelekwa huko mlidai ni chuki na visasi leo kesi iko hivi mnasema double standards. Mnataka jiwe afanye nn?Hapo ndo tunajua kua jiwe so kamilifu.huwezi ongoza nchi Kwa double standard
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hao wote wanaokuwa wamekamatwa inakua sio kweli mafisadi?Tukisema hakuna vita vya ufisadi bali kupambana na matumizi ya neno fisadi na visasi watu wanachukia. Ni dhahiri hao jamaa wataachiwa kisa Lowassa kakubali kumsujudia shetani na mambo yake yote, hivyo kapewa fahari za dunia hii. Hata Lissu leo hii akimsujudia shetani na mambo yake yote atapatiwa hela za matibabu.
Kwani vipi sioi kashaachiwa? Mbona unarukia kutoa hukumu... subiri uone mahakama itasemaje sio kusingizia jpm. Kwani mbowe na matiku wamehamia ccm?..mbona wametoka rumande!Hapo ndo tunajua kua jiwe so kamilifu.huwezi ongoza nchi Kwa double standard
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajaachiwa lakini ndo inaelekea stay tuned ndipo utakapomuelewa jiweKwani vipi sioi kashaachiwa? Mbona unarukia kutoa hukumu... subiri uone mahakama itasemaje sio kusingizia jpm. Kwani mbowe na matiku wamehamia ccm?..mbona wametoka rumande!
haisaidiiLowassa si kasharudi, bado Sumaye watachukua hadi magari na suti zake
Taarifa mpya zinaonyesha kwamba haitofika tarehe 20/3Hilo liko wazi, muda si mrefu DPP atafuta kwa maagizo ya jiwe.
Nchi ya visasi awamu hii
Some people can not cry until they see a coffin.- Chines proverbKwani vipi sioi kashaachiwa? Mbona unarukia kutoa hukumu... subiri uone mahakama itasemaje sio kusingizia jpm. Kwani mbowe na matiku wamehamia ccm?..mbona wametoka rumande!
ccm ndio mahakama ndiyo rais ndio bunge yaan wao ndio wanabambika kesi wanakuhukumu na wanakutoa ila yote yana mwishoSafari ya Siyoi na wenzake kina Kitilya huenda ikawa imeanza kwani sasa kesi yao imehamishiwa Mahakama ya Kisutu.
Huu huenda ukawa ni mwanzo mzuri wa ahueni kwao!
========
Asam said;
Siyo hivyo mkuu!
Iissue ipo hivi: Ile kesi kulikuwa na dosari za kisheria kuu mbili iliyofanya kurudishwa Mahakama ya Kisutu kwa ajili ya marekebisho ambazo ni:
1. Ni kutoonekana jina la mshitakiwa namba tano akisomewa maelezo ya mashahidi na vielelezo vilivyowasilishwa mahakamani hapo.
2. Dosari nyingine ni pamoja na amri ya mahakama kutoorodhesha majina ya washitakiwa kwa mujibu wa kanuni za mahakama kuu kitengo chamakosa ya rushwa na uhujumu uchumi.
Hakimu mkazi mkuu, Huruma Shaidi amesema atafanyia marekebisho hayo na kurudisha jalada la kesi hiyo leo Mahakama Kuu kitengo cha makosa ya rushwa na uhujumu uchumi kwa ajili ya kuendelea na taratibu nyingine.
Kesi hiyo itaendelea Machi 13 Mahakama Kuu kitengo cha Nakosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi.
Kwani hao wote wanaokuwa wamekamatwa inakua sio kweli mafisadi?
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.