Kesi ya Mkwe wa Lowassa (Sioi) na Kitilya yarudishwa Mahakama ya Kisutu kufanyiwa marekebisho

mzee lowasa kajitoa muhunga mkwe atoke.

Soon atatimiza haja ya binti yake sawa na kisa cha binti wa Mfalme na kichwa cha Yohana mbatizaji John the Baptist. Dosari za mashtaka zimeanza kuonekana baada ya kurudi chakavu. Shetani alimwambia Yesu ukinisujudia hii miliki yooote ya duniani itakuwa ni yako.
 
Siku si nyingi
"Kesi ya Mkwe wa Lowassa (Sioi) na Kitilya yafutwa-watuhumiwa waachiwa huru, Serikali kuwalipa Mamilioni"

Ni baada ya kuibwaga serikali mahakamani
 
Jaji Wilbard Mashauri mnamwelewaje kiweledi hadi kuwa jaji? Au kwa vile aliwafutia dhamana ndugu zetu wale?
 
Mzee wa Monduli kila akikaa na binti yake ni kilio tu, akaona bora apige magoti kwa Ngosha kiutu uzima.

Yule mzee wa Moshi aliyekuwa bosi pale mapato nasikia mara mbili ameshataka kujiua akiwa huko lupango.
 
Safari ya Siyoi na wenzake kina Kitilya huenda ikawa imeanza kwani sasa kesi yao imehamishiwa Mahakama ya Kisutu.

Huu huenda ukawa ni mwanzo mzuri wa ahueni kwao!

========

Asam said;

Siyo hivyo mkuu!

Iissue ipo hivi: Ile kesi kulikuwa na dosari za kisheria kuu mbili iliyofanya kurudishwa Mahakama ya Kisutu kwa ajili ya marekebisho ambazo ni:

1. Ni kutoonekana jina la mshitakiwa namba tano akisomewa maelezo ya mashahidi na vielelezo vilivyowasilishwa mahakamani hapo.

2. Dosari nyingine ni pamoja na amri ya mahakama kutoorodhesha majina ya washitakiwa kwa mujibu wa kanuni za mahakama kuu kitengo chamakosa ya rushwa na uhujumu uchumi.

Hakimu mkazi mkuu, Huruma Shaidi amesema atafanyia marekebisho hayo na kurudisha jalada la kesi hiyo leo Mahakama Kuu kitengo cha makosa ya rushwa na uhujumu uchumi kwa ajili ya kuendelea na taratibu nyingine.

Kesi hiyo itaendelea Machi 13 Mahakama Kuu kitengo cha Nakosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi.
BABA mkwe kurudi ccm leo tayari mambo yameanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom