Kesi ya Mkwe wa Lowassa (Sioi) na Kitilya yarudishwa Mahakama ya Kisutu kufanyiwa marekebisho

Siyo hivyo mkuu!

Iissue ipo hivi: Ile kesi kulikuwa na dosari za kisheria kuu mbili iliyofanya kurudishwa Mahakama ya Kisutu kwa ajili ya marekebisho ambazo ni:
1. Ni kutoonekana jina la mshitakiwa namba tano akisomewa maelezo ya mashahidi na vielelezo vilivyowasilishwa mahakamani hapo.
2. Dosari nyingine ni pamoja na amri ya mahakama kutoorodhesha majina ya washitakiwa kwa mujibu wa kanuni za mahakama kuu kitengo chamakosa ya rushwa na uhujumu uchumi.
Hakimu mkazi mkuu, Huruma Shaidi amesema atafanyia marekebisho hayo na kurudisha jalada la kesi hiyo leo Mahakama Kuu kitengo cha makosa ya rushwa na uhujumu uchumi kwa ajili ya kuendelea na taratibu nyingine.
Kesi hiyo itaendelea Machi 13 Mahakama Kuu kitengo cha Nakosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi.
Hayo makosa yameonekana baada ya lowasa kurudi nyumbani paliponoga,huko nyuma hayakuonekana?
Msituzuge, ila mkumbuke kuna uhai na kifo.
Leo mnajibu majibu ya uwongo kwa maslahi yenu tena ya kimwili tu.
NAWASHAURI MUANDAE NA MAJIBU YA KUMJIBU MWENYEZI MUNGU,MAANA KILA NENO LITATOLEWA HESABU MBELE ZAKE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nisichangie..wenda jiwe akaja nitafuta nikapotezwa na wasiojulikana ukawa ndio uzi wangu wa mwisho.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe yeye ndio anamiliki wale wasiojulikana...!!! Sasa kama rais anajihusisha na vitendo vya kihalifu hivi kweli katiba inaweza ikamlinda? I don't think so, and if that's the case then I think that katiba is nothing but a worthless pamphlet.
 
Hapo ndo tunajua kua jiwe so kamilifu.huwezi ongoza nchi Kwa double standard

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani jiwe ni Mahakama?Walivyopelekwa huko mlidai ni chuki na visasi leo kesi iko hivi mnasema double standards. Mnataka jiwe afanye nn?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Tukisema hakuna vita vya ufisadi bali kupambana na matumizi ya neno fisadi na visasi watu wanachukia. Ni dhahiri hao jamaa wataachiwa kisa Lowassa kakubali kumsujudia shetani na mambo yake yote, hivyo kapewa fahari za dunia hii. Hata Lissu leo hii akimsujudia shetani na mambo yake yote atapatiwa hela za matibabu.
Kwani hao wote wanaokuwa wamekamatwa inakua sio kweli mafisadi?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Technically Hawa tuwakaribishe uraiani kwani figisu hizo zikishaanza ni kwamba Nolle itahusika.

Jela ni chuo Cha mafunzo hakika watuhumiwa wakitoka watakuwa wamebadili Sana mindset.

Hata Boss ndama siku hizi zile mbwembwe kazifuta baada ya kutoka lupango.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mizunguko Yote hapo mahakamani ni kupoteza malengo maana taarifa za kuachiwa zimeshavuja , wataachiwa tu .
 
Safari ya Siyoi na wenzake kina Kitilya huenda ikawa imeanza kwani sasa kesi yao imehamishiwa Mahakama ya Kisutu.

Huu huenda ukawa ni mwanzo mzuri wa ahueni kwao!

========

Asam said;

Siyo hivyo mkuu!

Iissue ipo hivi: Ile kesi kulikuwa na dosari za kisheria kuu mbili iliyofanya kurudishwa Mahakama ya Kisutu kwa ajili ya marekebisho ambazo ni:

1. Ni kutoonekana jina la mshitakiwa namba tano akisomewa maelezo ya mashahidi na vielelezo vilivyowasilishwa mahakamani hapo.

2. Dosari nyingine ni pamoja na amri ya mahakama kutoorodhesha majina ya washitakiwa kwa mujibu wa kanuni za mahakama kuu kitengo chamakosa ya rushwa na uhujumu uchumi.

Hakimu mkazi mkuu, Huruma Shaidi amesema atafanyia marekebisho hayo na kurudisha jalada la kesi hiyo leo Mahakama Kuu kitengo cha makosa ya rushwa na uhujumu uchumi kwa ajili ya kuendelea na taratibu nyingine.

Kesi hiyo itaendelea Machi 13 Mahakama Kuu kitengo cha Nakosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi.
ccm ndio mahakama ndiyo rais ndio bunge yaan wao ndio wanabambika kesi wanakuhukumu na wanakutoa ila yote yana mwisho
 
Kwani hao wote wanaokuwa wamekamatwa inakua sio kweli mafisadi?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

Mtu anakaa magereza zaidi ya mwaka kwa kukomolewa kisiasa, kisha rais akiridhika na utashi wake kisiasa mtu huyo anaachiwa. Hapo utasema kakamatwa kwakuwa ni fisadi? Ama hujui unaongea nini?
 
Back
Top Bottom