Kesi ya Mkwe wa Lowassa (Sioi) na Kitilya yarudishwa Mahakama ya Kisutu kufanyiwa marekebisho

Dadeki mara hii marekebisho mara paap, hakuna ushahidi, paap watu wako nje hahahah Mzee c kesharudi kule bwana
 
DPP hana shauri za kuendelea na hii kesi utasikia.Kesi za ufisadi na uhujumu uchumi karibu zote serikali huwa inabwagwa.Nyingi utumika kama kuwakomoa wahasimu wetu tuliotofautiana nao kama kuwakomoa hadi watakapotii matakwa yetu either ya kisiasa au wakamuliwe,kuna haja gani MTU anawekwa ndani Miaka 3 au mitatu then anafutiwa kosa tasfiri yake kaonewa kama ushahidi haujakamilika kwann muwaweke watu ndani hali hawawezi kimbia na kuacha vitegauchumi vyao vyenye thamani zaidi hata ya wanavotuhumiwa navyo.Nchi nyingi hakuna kesi isiyo na dhamana isipokuwa mauaji tu.Uhujumu uchumi bado MTU anaweza dhaminika.
 
Sumaye amesahau alivyo mfilisi mbulu mwenzake Kwang wa TANGO transport Muacheni Mungu atende

Kwa sumaye ni malipo keshawahi sema nyuma akiwa bado yupo kwenye mfumo ,kuwa ukitaka kufanya biashara Bila bughudha amia ccm,leo anakula alivowapandia wengine akiwa ccm.Arudi ccm watamrudishia SHAMBA lake LA mabwepande na LA Kilosa walilolichukua.Ukirudi ccm atarudishiwa vyote hata mtoni utalima hakuna wa kukugusa.Mambo ya kodi,vyeti vya bibi yake babu,kesi uchwara za uchochezi utakuwa unazisoma kwenye magazeti.
 
CCM ni chama cha mijizi, ili wizi na uhalifu wako ufanikiwe, wewe jiunge CCM.

Kina Rostam Aziz, Subash Patel, Jeetu Patel na wengine wengi, wamekuwa wakitajwa tangu enzi za kashfa ya Chavda, Epa, Rada, Ununuzi wa ndege ya Rais na kashfa nyingine nyingi zaidi.

Lakini wako salama kwasababu wako chini ya uvuli wa Chama

Change,kitwanga,ngereja,kiasi cha mboga wako mikononi Salama kabisaa wakihamia upinzani uhujumu uchumi na ufisadi kesi zitawahusu.
 
Kwani hao wote wanaokuwa wamekamatwa inakua sio kweli mafisadi?

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

MBONA huwa wanashindwa hizo kesi uchwara kama ni mafisadi watesi wao wanachoambulia ni kuwaweka ndani mda mrefu Miaka 3 4 5 uwachelewesha kutafuta ushahidi ili wawkomoe wanajua wakiwapeleka mahakamani mapema watatoka.
 
Hamna wanaposhindwa elewa hilo.Ni siasa tu zinazofanywa.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
 
Kwa Africa jela huwa ni kwa masikini, ukimuona tajiri jela jua kakosana na watawala ili asikishwe adabu au akomolewe ili afilisike.Na asipojiongeza anafilisika kweli.
 
Hamna wanaposhindwa elewa hilo.Ni siasa tu zinazofanywa.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
MBONA huwa wanaachiwa hali wakiaminishwa ktk jamii ni mafisadi, Wapi Manji na kesi za madawa,uhujumu uchumi, Mdogo wake na rostam,Tido na tbc wakituhumiwa kwa mbwembwe Leo wako mitaani
 
Hamna wanaposhindwa elewa hilo.Ni siasa tu zinazofanywa.

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.

Wapi sepenga akiwa cdm ni kipisi cha bange kurudi ccm kipisi cha bange kimegeuka cha sigara.
 
Kwa Africa jela huwa ni kwa masikini, ukimuona tajiri jela jua kakosana na watawala ili asikishwe adabu au akomolewe ili afilisike.Na asipojiongeza anafilisika kweli.
Haa haa umenikumbusha jamaa wa kigoma Wale waliofungwa kwa pesa za Epa wamenitoka majina sijui Shabab Londa
 
Back
Top Bottom