Kesi ya Mbowe na wanasheria wa Tigo na Airtel ikumbushe wenye mamlaka kutunza siri za wateja ni muhimu kujenga sekta imara ya benki na mawasiliano

Police ni chambo cha usalama na kudai taarifa za mtuhumiwa yeyote au mtu anayepelelezwa ni sawa kabisa ...achani ushabiki wa kisiasa..maana ya usalama nini sasa..kwa hiyo wasipewe huo uwezo ili nchi itekwe mara moja..achani ushabiki na ujinga..kwa hiyo police wakatufute order mahakani ili process ya kubaini wahalifu mara moja liwe complicated..acheni ushabiki
 
Hili jambo liko wazi kitambo sana, huyo mwanasheria wa TIGO kaja kuwathibitishia tu wenye uwelewa mdogo juu ya cordination iliyopo kati ya vyombo vya ulinzi na makampuni ya simu. However kuna maafisa wengine wa vyombo hivyo na wenye mamlaka hutumia mahusiano hayo kwa mambo yao binafsi which is unethical.
Customer's privacy is irrelevant when it comes to crimes.
 
Kwa mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA freeman Mbowe na ushahidi na mashahidi wanaojitokeza kuna vilio vitakuja baadae.

Shahidi namba 05 wa leo ama kwa kujua ama kutokujua au kwa kushinikizwa unaona kabisa ameitumbukiza shimoni TIGO na MIC.

Huyu Shahidi wa TIgo anaonesha kabisa kuwa hajui ama alifanya kwa kufuata maelekezo. Kuna sehemu anasema wao mtu yeyote akipata barua toka Polisi kuhusu kuchunguzwa kwa mtu hawaangalii chochote.

Hapa anabanwa na sheria ya faragha. Mbowe anapiga hela hapa. Hata kama Mbowe atafungwa kwa case atakayofungua dhidi ya TIGO ana uhakika wa familia yake kuishi kwa raha.

TIGO wamejiingiza katika mgogoro mkubwa na watumiaji wengine. Wasijione wapo bora waulize gazeti kongwe duniani lilivyofutika katika uso wa dunia.

Mwanasheria wa TIGO kama mlinda siri wa Wateja.

Hii kesi inaleta mengi.
 
Lazima kuwepo na utaratibu maalum wa kutoa hizo taarifa ambao unamlinda mteja dhidi ya matumizi mabaya ya taarifa zake. Nchi zote zinzothamini taarifa za wateja jaji wa mahakama lazima aidhinishe kwa warrant kuachiliwa kwa taarifa za mteja, sio polisi au mamlaka ya mawasiliano inaamua tu na kupewa taarifa za wateja.
Naona kila mtu anazungumzia usiri kuhusu kutoa taarifa za wateja. Hili jambo sijaelewa, mfano ikitokea kuna jambo lolote baya linafanywa na mteja, kisheria imekaaje? Tigo inapaswa kumlinda mteja mmoja hata kama jambo lolote hatarishi linalenga wateja wengi?...

Mmmh
 
Kwa mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA freeman Mbowe na ushahidi na mashahidi wanaojitokeza kuna vilio vitakuja baadae.

Shahidi namba 05 wa leo ama kwa kujua ama kutokujua au kwa kushinikizwa unaona kabisa ameitumbukiza shimoni TIGO na MIC.

Huyu Shahidi wa TIgo anaonesha kabisa kuwa hajui ama alifanya kwa kufuata maelekezo. Kuna sehemu anasema wao mtu yeyote akipata barua toka Polisi kuhusu kuchunguzwa kwa mtu hawaangalii chochote.

Hapa anabanwa na sheria ya faragha. Mbowe anapiga hela hapa. Hata kama Mbowe atafungwa kwa case atakayofungua dhidi ya TIGO ana uhakika wa familia yake kuishi kwa raha.

TIGO wamejiingiza katika mgogoro mkubwa na watumiaji wengine. Wasijione wapo bora waulize gazeti kongwe duniani lilivyofutika katika uso wa dunia.

Mwanasheria wa TIGO kama mlinda siri wa Wateja.

Hii kesi inaleta mengi.
Duuuuu!!! Acha tuone
 
Shahidi wa leo, kwenye kesi dhidi ya Mh. Mbowe na wenzake, bwana Fredy ametudhihirishia wateja wa mitandao ya simu kuwa polisi wanaweza kwenda kwenye hii mitandao na kuwaambia wenye mitandao wawape taarifa zako zote, kama mawasiliano, ulipo, miamala yako, wao hata hawaulizi ni kwaajili ya nini, wanawapa.

Watanzania hatupo salama kiusalama wala kifaragha, kila unapotumia mtandao wa simu. Polisi mwenye nia mbaya nawe, anaweza kwenda kwenye mitandao, na kuomba location yako, atapewa; akitaka kujua una mahusiano na mtu gani, atapewa; akitaka kujua simu yako ilituma hela kwa nani na ina balance kiasi gani, anapewa; atapewa chochote anachotaka alimradi tu ni polisi.

Hii ni wakeup call, kuwa usitumie mitandao ya simu kama siyo lazima sana. Labda utumie zaidi data ili mawasiliano yawe kwa whatsap, skype au telegram, huduma ambazo savers hazipo nchini, lakini siyo sms wala calls, au kutuma hela.
Bwanaeee, na mimi nimemsikia huyu shahidi leo...

Ni kama anekwenda pale kui - discredit kabisa kampuni ya TIGO - MIC TANZANIA kwamba hawalindi usiri na usalama wa wateja wao...

Hii ni hatari sana..

Lakini kwa upande mmoja, mimi naona huyu siyo mfanyakazi [employee] wa kawaida wa TIGO TZ...

Huyu bwana ni mshirika wa kina Kingai aliyepo pale kwa kazi maalumu kufuatilia nyendo za kimtandao za baadhi ya watu hususani wanasiasa...

Hebu jaribu ku - imagine;

å Kuwa barua inaandikwa toka polisi kutaka taarifa za siri/binafsi za mteja fulani [hapa ni Freeman Mbowe]..

å Barua inapokelewa na Freddy Kapala..

å Huyu huyu Freddy Kapala anaifanyia kazi kila walichotaka polisi

å Huyu huyu Freddy Kapala anawajibu Polisi bila mtu mwingune yeyote ktk kampuni ya TIGO TZ kujua. Si CEO wake wala Head of his Department...!

Hii siyo kawaida, au siyo jamani..??
 
Msiilamu Tigo tu, huenda kampuni zote utaratibu ndio huo.
Kwa mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA freeman Mbowe na ushahidi na mashahidi wanaojitokeza kuna vilio vitakuja baadae.

Shahidi namba 05 wa leo ama kwa kujua ama kutokujua au kwa kushinikizwa unaona kabisa ameitumbukiza shimoni TIGO na MIC.

Huyu Shahidi wa TIgo anaonesha kabisa kuwa hajui ama alifanya kwa kufuata maelekezo. Kuna sehemu anasema wao mtu yeyote akipata barua toka Polisi kuhusu kuchunguzwa kwa mtu hawaangalii chochote.

Hapa anabanwa na sheria ya faragha. Mbowe anapiga hela hapa. Hata kama Mbowe atafungwa kwa case atakayofungua dhidi ya TIGO ana uhakika wa familia yake kuishi kwa raha.

TIGO wamejiingiza katika mgogoro mkubwa na watumiaji wengine. Wasijione wapo bora waulize gazeti kongwe duniani lilivyofutika katika uso wa dunia.

Mwanasheria wa TIGO kama mlinda siri wa Wateja.

Hii kesi inaleta mengi.
 
Shahidi wa leo, kwenye kesi dhidi ya Mh. Mbowe na wenzake, bwana Fredy ametudhihirishia wateja wa mitandao ya simu kuwa polisi wanaweza kwenda kwenye hii mitandao na kuwaambia wenye mitandao wawape taarifa zako zote, kama mawasiliano, ulipo, miamala yako, wao hata hawaulizi ni kwaajili ya nini, wanawapa.

Watanzania hatupo salama kiusalama wala kifaragha, kila unapotumia mtandao wa simu. Polisi mwenye nia mbaya nawe, anaweza kwenda kwenye mitandao, na kuomba location yako, atapewa; akitaka kujua una mahusiano na mtu gani, atapewa; akitaka kujua simu yako ilituma hela kwa nani na ina balance kiasi gani, anapewa; atapewa chochote anachotaka alimradi tu ni polisi.

Hii ni wakeup call, kuwa usitumie mitandao ya simu kama siyo lazima sana. Labda utumie zaidi data ili mawasiliano yawe kwa whatsap, skype au telegram, huduma ambazo savers hazipo nchini, lakini siyo sms wala calls, au kutuma hela.
Nafikiri huu ni upotoshaji. Ni kweli mitandao ya simu kwa kibali maalum wanaweza kutoa taarifa zetu kwa police.
Hata kwenye kesi hii shahidi anasema alitakiwa kwa kibali maalum atoe hizi taarifa na km sheria inaruhusu tigo ingekataa.
Na nadhani ni duniani kote haya mambo yapo na upelelezi unatumika huko pia hata kujua muhalifu fulani yuko wapi.
Hata ukitupa line huna pa kukimbilia cha muhimu tuwe raia wema tuache mawaa.
Taarifa wanatoa ila kwa kibali maalum mitandao yote ya simu.
 
Police ni chambo cha usalama na kudai taarifa za mtuhumiwa yeyote au mtu anayepelelezwa ni sawa kabisa ...achani ushabiki wa kisiasa..maana ya usalama nini sasa..kwa hiyo wasipewe huo uwezo ili nchi itekwe mara moja..achani ushabiki na ujinga..kwa hiyo police wakatufute order mahakani ili process ya kubaini wahalifu mara moja liwe complicated..acheni ushabiki
Ukimtumia mume wa afande mwanamke message halafu huyo afande mwanamke akaenda kuomba data za namba yako utafurahi dada Tajiri Tanzanite ?
Kwa nini iwe polisi na sio "kwa amri ya mahakama"!?
 
washenzi sanaa.ciber crime wanakufata Hadi chooni.
Na majina yako yote wanakutajia.
 
Hili jambo liko wazi kitambo sana, huyo mwanasheria wa TIGO kaja kuwathibitishia tu wenye uwelewa mdogo juu ya cordination iliyopo kati ya vyombo vya ulinzi na makampuni ya simu. However kuna maafisa wengine wa vyombo hivyo na wenye mamlaka hutumia mahusiano hayo kwa mambo yao binafsi which is unethical.
Customer's privacy is irrelevant when it comes to crimes.
Usajili wa laini kwa alama za vidole,
IMEI NUMBER.
hauchomoki.
 
Kesi ya sabaya ilifatiliwa na watu wengi tatizo mnapenda kunyenyekewa nyie tu kama ka kikundi ka dogo ka penda attention. Mbowe na chadema kwa ujumla walishawahi kuwaambia wanachama wao wasusie mtandao wa voda kwa sababu hizi hizi mnazolalamikia leo,sijui huwa mnasahau au mnatafuta kiki za muda.
Kama ilifanyika hivyo bila idhini ya mahakama ni kosa. Bahati mbaya sana hakuna watu wengi makini waliofuatilia au wanaofuatilia kesi za Sabaya kwa sababu ya udhalimu wake mwingi aliotuhumiwa nao kuwafanyia binadamu wenzake hata kabla ya kufikishwa mahakamani.
 
Nafikiri huu ni upotoshaji. Ni kweli mitandao ya simu kwa kibali maalum wanaweza kutoa taarifa zetu kwa police.
Hata kwenye kesi hii shahidi anasema alitakiwa kwa kibali maalum atoe hizi taarifa na km sheria inaruhusu tigo ingekataa.
Na nadhani ni duniani kote haya mambo yapo na upelelezi unatumika huko pia hata kujua muhalifu fulani yuko wapi.
Hata ukitupa line huna pa kukimbilia cha muhimu tuwe raia wema tuache mawaa.
Taarifa wanatoa ila kwa kibali maalum mitandao yote ya simu.
Sheria inasema taarifa inaweza kutolewa kama mtumiaji wa simu anatuhumiwa kutenda kosa fulani. Lakini uthibitisho uliotolewa leo ni kwamba polisi hawaelezi hata sababu, na tigo hata hawaulizi taarifa inahitajika kwa sababu gani.
 
Shahidi wa leo, kwenye kesi dhidi ya Mh. Mbowe na wenzake, bwana Fredy ametudhihirishia wateja wa mitandao ya simu kuwa polisi wanaweza kwenda kwenye hii mitandao na kuwaambia wenye mitandao wawape taarifa zako zote, kama mawasiliano, ulipo, miamala yako, wao hata hawaulizi ni kwaajili ya nini, wanawapa.

Watanzania hatupo salama kiusalama wala kifaragha, kila unapotumia mtandao wa simu. Polisi mwenye nia mbaya nawe, anaweza kwenda kwenye mitandao, na kuomba location yako, atapewa; akitaka kujua una mahusiano na mtu gani, atapewa; akitaka kujua simu yako ilituma hela kwa nani na ina balance kiasi gani, anapewa; atapewa chochote anachotaka alimradi tu ni polisi.

Hii ni wakeup call, kuwa usitumie mitandao ya simu kama siyo lazima sana. Labda utumie zaidi data ili mawasiliano yawe kwa whatsap, skype au telegram, huduma ambazo savers hazipo nchini, lakini siyo sms wala calls, au kutuma hela.

Umemaliza kila kitu mkuu
 
Back
Top Bottom