Kesi ya Mbowe: Mzee wa Upako anena Mazito

Kesi ya Mbowe: Mzee wa Upako anena Mazito

Mama mishandling ya hiii kesi Ni shimo kubwa sana anajichimbia; atakua hana pakushika;waliomuingiza mweli wamemfix

Kama ana watu wanaomfanyia polularity rating ndani ya mfumo watamuambia ukweli kiwango chake cha kukubalika kimendelea kushuka ; wenzake ndani ya ccm wanamtengenezea jungu la kupendelea ( japo ni propaganda kadiri anavyoacha wanaaminika) ; wasaidizi wake wakuuu wako busy kusaka Urais … yeye yuko busy na Mbowe mtu ambaye toka mwanzo alionekana kumuunga mkono
Hoja ya katiba na uchaguzi tayari imeshafika mbali sana haiwezi kuzimika hata ndani ya serikali wameshaona madhara ya katiba mbaya

Magufuli pamoja na ubabe wake hakuwahi kumshambulia Mbowe direcf tena alikua akiwa naye anajichekesha huku akitumia watu wengine kumshughulikia ….

Hakukosea waliosema wajinga ndiyo waliwao.
 
Huyu mzee wa mipako sio upako, ni mlaghai, mnafiki na mla rushwa
 
Huyu mzee wa mipako sio upako, ni mlaghai, mnafiki na mla rushwa

Mlaghai kuliko hawa?

IMG_20211212_185614_232.jpg
 
Kuna clip moja Lusekelo pale mwishoni anamkanya mtu mzima yupi?nilidhani anamzungumzia mama ila mama sio mkristo,sasa huyo mtu mwenye maamuzi serikalini (anaekataa kumwachia Mbowe) na ni mkristo maana anaambiwa ukristo hautaki mabavu, ni nani?btw lines naona anazungumzia mtu mwingine tena mwanaume!
Inawezekana Lusekelo ni mzito kuliko tunavyofikiri!
 
Kama unafuatilia yote yanayojili mahakamani kwene iyo kesi huwezi kuwa na doubts juu ya kesi ya mbowe.....toka kesi imeanza hakuna matukio ya ugaidi wameyazungumza, sasa mwishoni mwa kesi ndo wataeleza ugaidi wa mbowe na wenzie? Ugaidi wa kufadhiliwa na laki mbili, na bastola yenye risasi sjui maganda yasiyoendana na bastola enyewe, ugaidi unafanyika bila vilipuzi walivosema wanalipua, ugaidi ukafanyika hai kilimanjaro lakini walioujua ni kina kingai, j4 sjui na mahita ambao hata hawako kilimanjaro, eti shahidi muuza mbege anaenda kutoa ushahidi mahakamani bastola anielezea anaijua utafikiri anaimiliki yeye, jambo kubwa kiasi iko linapangwa kufanyika nchi nzima lakini hakuna kiongozi yeyote wa kamati ya ulinzi na usalama iwe ya mkoa au wilaya aliye na taarifa hizo! Kesi imebaki tu ya kingai mahita jumanne ambako hata mkoani kwao huo ugaidi haujafanyika, haya huyo jumanne mwenyewe kasimamishwa kazi kwa kumbambikia mzee wa watu pembe za ndovu, inamaana walijichagua wanaojiaminia kufanya uharamia wakajipanga kufanya huo upuuzi imagine wanasema walipanga kuwadhuru viongozi wa kitaifa wanaambiwa wataje shahidi anataja "sabaya ", huyo tayari ushamtaja taja wengine maana umesema na viongozi wengine anarudia "sabaya" huo ni mchongo
Basi kama ni hivyo, basi kuna uwezekano mkubwa Mbowe anatengenezewa kick ili hapo baadaye aje achukue nchi. Kuna watu wanaihujumu Serikali iliyopo madarakani wakiwa na nia ya kubadilisha uongozi wa nchi. Aidha hiki nilichosema hapa ni sahihi, na kama hiki si sahihi basi nilchosema hapo awali ndiyo kiko sahihi na si vinginevyo!
 
Huyu mzee wa mipako sio upako, ni mlaghai, mnafiki na mla rushwa

Mzee wa upako yuko vizuri na kwa taarifa yako huko ndiko tunakojielekeza sasa kwa sala na tafakuri za mustakabala wa taifa hili.

IMG_20211221_163114_082.jpg


Kukaa kimya si suluhu tena. Tutakwenda na wachunga kondoo wa Mola wanaoukemea uovu kama yanavyoelekeza maandiko.
 
Basi kama ni hivyo, basi kuna uwezekano mkubwa Mbowe anatengenezewa kick ili hapo baadaye aje achukue nchi. Kuna watu wanaihujumu Serikali iliyopo madarakani wakiwa na nia ya kubadilisha uongozi wa nchi. Aidha hiki nilichosema hapa ni sahihi, na kama hiki si sahihi basi nilchosema hapo awali ndiyo kiko sahihi na si vinginevyo!

Ngoja tuone ..
 
Kwani Mbowe ni Mungu wenu au si binadamu kama wengine kama anakosa afungwe na wengine wapate nafasi
 
Back
Top Bottom