- Thread starter
- #61
Kwani Mbowe ni Mungu wenu au si binadamu kama wengine kama anakosa afungwe na wengine wapate nafasi
Hilo kosa unaliona wewe peke yako? Mara ya mwisho Mama si kasema kinachogomba ni heshima?
Kwani Mbowe ni Mungu wenu au si binadamu kama wengine kama anakosa afungwe na wengine wapate nafasi
Ingewasaidia sana kama mngethibitisha kosa lake kwanza.Kwani Mbowe ni Mungu wenu au si binadamu kama wengine kama anakosa afungwe na wengine wapate nafasi
Nina wasiwasi Na funga ya mtafunaji maboga ya kondoo madhabahuniWaamaleki wamekalia kuti kavu mana Askofu Gwajima amefunga kwa ajili yao. So wacha tuone.