Kesi ya Mbowe kesho: Kisutu hapatatosha, maandalizi yanaogofya

Hio nguvu ya kumshughulikia mbowe si waitumie kumaliza tatizo la ujenzi wa vyoo vya shule tuepuke aibu ya kujengewa vyoo vya misaada.
Wakati tukifanya hivyo mnatakiwa muwe mmekaa kwa kutulia maana mkituzengua ili tusifanye hivyo nanyi tutawazingua
 
Gaidi namba moja:Freeman Aikaeli Mbowe atakapo fikishwa mahakamani lazima ulinzi uwe tight hatutaki kuona hata kunguni akikatisha mbele.
wasije wakalipua Mahakama zetu bure, maaana hawa jamaa ni sawa na bokoharam.
Bure kabisa
 
😄😄😄😄😄😄😄😄

Hili ndilo mtakalokuwa nalo milele. Mlisema Magufuli weeeeeeee Leo mmemgeukia Samia weee kesho atakuja mwengine mtasema weweeeeee.

You guys a total failures!
 
Gaidi namba moja:Freeman Aikaeli Mbowe atakapo fikishwa mahakamani lazima ulinzi uwe tight hatutaki kuona hata kunguni akikatisha mbele.
wasije wakalipua Mahakama zetu bure, maaana hawa jamaa ni sawa na bokoharam.
Ukiwa kama nani hapo ulipo?.
 
Toyota na Suzuki wanaweza kuleta mitaji yao kwenye nchi zenye magaidi? Siasa za ccm ni za kipumbavu sana yaan, hawaangaliagi impact ya actions zao kwa nchi, mipango na matendo yao ni ya kijinga jinga tu.
 
Hadithi za Mwendazake hizo zilikuwa hazina mvuto hata kwa watoto wa chekechea, wewe bado unazo? Anyway kuna ratiba mpya ya kufanya usafi malaloni. Umepangwa tarehe 5/8
 
Aviation industry sio sawa na biashara ya kuuza mkaa,yaani uianze na kupata faida hapo hapo,jaribu kuangalia mashirika ya Ndege Duniani jinsi yalivyopitia mpaka kufikia hapo yalipo.
Midege mliinunua wenye kwa pupa mkiwa mafichoni. Sasa mna mpango wa kuongeza nyingine tena sijui mmeona hasara haiwatoshi.
 
Tanzania Inawezekana hatujui maana ya gaidi au hatuja define vizuri Ugaidi. Ndiyo maana hata Masheikh wamesoteshwa bure korokoroni wakaishia kuachia bila kesi.

Kwa kuwa hakuna sheria ya kudai pale unapochomekewa kesi na kuachia kinyemela dhuluma kama hizi zitaendelea kwa muda mpaka Siku katiba itakapotoa haki kwa watu kama hawa.
 
Reactions: BAK
Scania Kibaha kilishakuwepo tangu..... kwa hiyo Tanzania hatuifuati Rwanda,lakini pia unalinganishaje ndege na gari tena za low cost ambazo wengi wanaweza ku afford, lakini si nauli ya ndege na biashara ya ndege kwa ujumla wake, au tumlete hapa CAG aseme mwenyewe hizo ndege zimeleta faida au hasara kiasi gani kwa muda ambao walianza kufanya hiyo biashara.Rwanda wenyewe wameingia ubia na Quatar Airways uone hiyo biashara ilivyo ngumu.
 
CAG Kichere hakuficha katika ripoti yake aliyokabidhiwa Samia April mwaka huu. Aliansika katika ripoti hiyo kwamba katika miaka mitano ATCL imeliingizia hasara Taifa ya shilingi 354 billioni
 
Vwanda havijengwi na serekali, vilivyokuwa vya serekali vilibinafshishwa na mkapa
 
Kama Haji kaondoka Simba, hata Siro Kuna siku atakua mwana Chadema Tena mzuri tu.
 
miaka iliyopita baada ya kuona uonevu umezidi Tulisali novena, wengine tulisoma albadir, ilipojibu tulishuhudia vigogo kama 6 wanapukutika ndani ya miezi 6 tu alianza mkapa,

safari hii hatabaki ntu,
 
Mkuu,naona umejiuliza kisha ukajijibu wewe mwenyewe,

Yaani umekubali kua Aviation industry ni biashara ngumu,so hasara ni jambo la kawaida hasa kwa mashirika madogo yanayo chipukia,

Hata mashirika makubwa kama Emirates,Qatar Airways,Lufthansa...nayo hupata hasara,ukifanya biashara ukategemea kupata faida toka mwanzoni basi hutoweza kufanya biashara yeyote ile,buashara hua zina changamoto zake ila hutakiwi kukata tamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…