Kesi ya Matumizi mabaya ya Madaraka inayomkabili Paulo Makonda inatajwa Leo Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni

hivi mwenda zake alisema mayalla maana yake nini vile?
Kiswahili kina upungufu wa vocabulary,
drought kwa Kiswahili ni njaa
Famine kwa Kiswahii ni njaa
Hunger kwa Kiswahili ni njaa
Empty stomach kwa Kiswahili ni njaa.
Mayalla ni ukame unaosababisha baa la njaa na sio njaa ya tumbo yenye kuhitaji shibe!.
Ila pia, naniliu, hakuwa Msukuma original, hivyo kukosea sio jambo la ajabu.
P
 
Hahahaaaaa leo unamkataa!?
 
Kumbe wasiojulikana .... Wanajulikana.

Hao wachache waliobaki wafichuliwe washughulikiwe ...!!
Kuna wasiojulikana wa aina mbili.
  1. Wasiojulikana ambao ni wasijulikana kabisa, hawa wanatafutwa, siku wakipatikana, watajulikana.
  2. Wasiojulikana ambao ni 'wasiojulikana', hawa kamwe hawatajulikana.
Sasa kuwatambua nani ni nani, na waliomshambulia Lisu kama ni wasiojulikana au 'wasiojulikana', karibu mitaa hii
P
 
Hahahaaaaa leo unamkataa!?
No sio leo, nimesema mara nyingi, kuna wahamiaji haramu kibao, walilowea na kuwa Wasukuma ila sio original!. Nilisema ukiona Msukuma ana tabia za ajabu ajabu tofauti na tabia za asili za Wasukuma, ujue huyo sio original, na hili nililizungumza vizuri hapa
nilisema
Wanabodi,
Wasukuma Sio Wakabila.
Sisi Wasukuma sio wakabila wa ukabila m-baya kwa kufanya ubaguzi wa kikabila au kindugu, yaani undugunaization wa nepotism, Wasukuma ni watu poa sana, ndilo kabila linaloongoza kwa watu wachapa kazi, ndilo kabila linaloongoza kwa upendo, ndilo kabila linaloongoza kwa ukarimu, ndilo kabila linaloongoza kwa unyenyekevu, ndilo kabila linaloongoza kwa viongozi ambao they are "men of the people", yaani watu wa watu na down to earth. Hivyo ninavyoandika hapa simtetei Magufuli kwa vile ni Msukuma, namtetea kwa vile mambo mengine, wanamsingizia bure tuu huyu Msukuma wa watu!.
The General Rule And The Exception to the Case.
Kwa vile ukanda, udini, na ukabila ni vitu ambavyo ni kweli vipo, na as a general rule, kabila la Wasukuma, hawana ukanda, ukabila wala udini, ila kila kwenye general rule, kuna the exceptional , hivyo pamoja na Wasukuma kuwa sio wabaguzi wa ukanda, udini na ukabila, there are always some exeption to the case , wakatokea Wasukuma wawili watatu, wakawa ni wabaguzi, wakabila na wadini, these are isolated individual cases, zisichukuliwe kulinyooshea kidole kabila lote, au Wasukuma wote, tena kwenye, hizo individual isolated cases, unaweza kabisa kukuta, hao wanaofanya hivyo, in actual facts, sio Wasukuma halisi, bali ni just porpoted to be Wasukuma!.
Paskali
Na kwenye uzi huu,

HAPA

wanaoujua ukweli, walitiririka

P.
 
Hii inaitwa sensationalism, na imesababishwa na gazeti la Raia Mwema kudanganya watu kuna kesi. Ukweli ni kuwa, hakuna kesi yoyote, iliyofunguliwa mahakama yoyote, kumhusu Paul Makonda!.

Kilichopo ni Kubenea anaomba kibali cha mahakama, imruhusu kufungua kesi ya jinai ya Makonda dhidi ya uvamizi wa Clouds media.

Nasema hakuna kesi yoyote hapo kwasababu kuathirika na uvamizi huo, Clouds hajalalamika popote, hivyo who is Kubenea?. What has uvamizi wa Makonda Clouds Media got to do with Kubenea?. Hili ombi la Kubenea, limekosa kitu cha kisheria kinachoitwa "locus stand".

Kubenea angeonekana wa maana, na wengi wangemuunga mkono kama angeomba kuendesha kesi ya shambulio la Lissu.

Hapa kwa Makonda, Kube is just wasting his time, money and resources, ila kwa vile lengo lake halisi la sio kumshitaki Makonda, bali ni attention seeking, hii ataipata.

P
Wakili Uchwara katika high level.
 
No sio leo, nimesema mara nyingi, kuna wahamiaji haramu kibao, walilowea na kuwa Wasukuma ila sio original!. Nilisema ukiona Msukuma ana tabia za ajabu ajabu tofauti na tabia za asili za Wasukuma, ujue huyo sio original, na hili nililizungumza vizuri hapa
nilisema

Na kwenye uzi huu,

HAPA

wanaoujua ukweli, walitiririka

P.
Mkuu, kwa sie tuliomfahamu akiwa hajabalehe, maneno yako si sahihi. Alikuwa ni Nsukuma Getegete na alipambania usukuma tangu awali. Naomba niishie hapo.
 
toto la baba leo limepanda kwa pirato...aisee maisha yanakwenda kwa kasi kubwa, haya maisha vana hiiiiiii

Nasikia kaingia namna hii mahakamani leo

1638537808871.png
 
Hii inaitwa sensationalism, na imesababishwa na gazeti la Raia Mwema kudanganya watu kuna kesi. Ukweli ni kuwa, hakuna kesi yoyote, iliyofunguliwa mahakama yoyote, kumhusu Paul Makonda!.

Kilichopo ni Kubenea anaomba kibali cha mahakama, imruhusu kufungua kesi ya jinai ya Makonda dhidi ya uvamizi wa Clouds media.

Nasema hakuna kesi yoyote hapo kwasababu kuathirika na uvamizi huo, Clouds hajalalamika popote, hivyo who is Kubenea?. What has uvamizi wa Makonda Clouds Media got to do with Kubenea?. Hili ombi la Kubenea, limekosa kitu cha kisheria kinachoitwa "locus stand".

Kubenea angeonekana wa maana, na wengi wangemuunga mkono kama angeomba kuendesha kesi ya shambulio la Lissu.

Hapa kwa Makonda, Kube is just wasting his time, money and resources, ila kwa vile lengo lake halisi la sio kumshitaki Makonda, bali ni attention seeking, hii ataipata.

P
Wanufaika na awamu ya 5 mnaonekana tu.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom