Kesi ya Masheikh wa Uamsho yaahirishwa baada ya Jamhuri kuomba udhuru tena

WEWE UTAKUWA SIYO MTANZANIA MPAKA USIJUE KILE WALICHOKIFANYA
Sio wote tunajua kila kitu hata ww nikikuuliza vifungo vya shati lako viko vingapi hapo na shati ni lako unaweza usinipe jibu sahihi kwa hiyo shati sio lako? Nijibu
 
Mwaka watisa huu mbona hamjaona Hilo kosa WACHENI UKOLONI HUO wewe angelikua baba yako kateseka hivyo ungesema hayo WACHENI USHENZI WAZANZIBAR NA BINADAMU PIA KM NYINYI
Kama wana hatia lazima sheria iwale ila pia kama hawana hatia hata leo hii waachiwe ila pia kama uchunguzi haujakamilika yatupasa kuwa wavumilivu hadi pale mambo yatakapokuwa sawa. Tuna imani na DPP, mahakama na vyombo vyetu vya kunusanusa.
 
Hamjakamilisha uchunguzi miaka Tisa hamna hata aibu??
 
Hamjakamilisha uchunguzi miaka Tisa hamna hata aibu??
Hivi hatuwezi kujiuliza kwa Kikwete aliwachukua kawaweka, Magufuli kawakuta pamoja na kupenda sifa kwake kote hakuwatoa badala yake kamtoa Babu Seya na Nguza Vikingi wenye political gain ndogo kuliko mashekh hawa? Tafsri ni ndogo tu kuwa jambo hili ni zito, yaliyo nyuma ya hawa jamaa si ya kuonea huruma hususani kwa mtu aliyekaribu na chemba ya ukweli wa jambo hili kwa ujumla.
Sisi raia tuwe wapole tuache mihemko ya kidini na aina zingine zote-haki itatendeka, vyombo husika viko huru zaidi ya jana, kama hawatatiwa hatiana watatoka na sisi tumbe haki itendeke ila tusipige kelele kama ikitoka kuwa wanafungwa japo hatuombei hili hata kidogo.
 
Back
Top Bottom