Kesi ya Masheikh; Mahakama ya Rufaa yatupilia mbali rufaa ya Jamhuri kutaka mashtaka 14 yaliyofutwa Mahakama Kuu kurudishwa

Nichukue fursa hii kuwaombea kwa mwenyezimungu waislamu wote kwa madhila yanayowapata kote ulimwenguni.Waislamu wanapitia magumu sana katika maisha yao na utekelezaji wa imani yao,poleni sana ndugu zangu katika imani.

Naandika nikiwa ninahudhuni na manung'uniko juu ya yale yanayowapata ndugu zangu.Allah awajaalie imani na uvumilivu katika majaribu yanayowakuta#yanamwisho
 
Nichukue fursa hii kuwaombea kwa mwenyezimungu waislamu wote kwa madhila yanayowapata kote ulimwenguni.Waislamu wanapitia magumu sana katika maisha yao na utekelezaji wa imani yao,poleni sana ndugu zangu katika imani.Naandika nikiwa ninahudhuni na manung'uniko juu ya yale yanayowapata ndugu zangu.Allah awajaalie imani na uvumilivu katika majaribu yanayowakuta#yanamwisho
Waislamu wa Saudi Arabia wanapata magumu gani
 
Wakuu Hawa watu wanatuhumiwa kwa mokosa gani jamani wanajiita JUMIKA had sas cjajuwaga makosa yako Ni yapi Ni ugaid au kudai zanzibar kwa njia mtutu na ufunjifu wa amani visiwani kule...

Nakaribisha maelezo
Screenshot_20210519-212605.jpg
 
Kila chenye mwanzo kina mwisho wake.

Usiku wa kiza kinene huishia alfajiri... jua hilo la chopoza ... Allahu Akbar
 
Wakuu Hawa watu wanatuhumiwa kwa mokosa gani jamani wanajiita JUMIKA had sas cjajuwaga makosa yako Ni yapi Ni ugaid au kudai zanzibar kwa njia mtutu na ufunjifu wa amani visiwani kule...

Nakaribisha maelezo View attachment 1791190
Vyovyote iwavyo hakuna mwanadamu kamili anayefurahia kumuona MWENZAKE AKITESEKA....

Ila......
Ila......
Ila......
Ila.....

Kujenga nchi si suala rahisi....SOTE SISI TUMEZALIWA NCHI IKIWA IMESHAJENGWA KWA GHARAMA KUBWA MNO....
Leo hii tunafurahia JASHO NA DAMU za wazee ,baba wa babu zetu tukiwa HURU NA WAMOJA pasi na "KUPIGANA PANDE" kutokana na tofauti tulizonazo.....

Yeyote mwenye KUTAKA MUUNGANO UVUNJIKE ,UPARANGANYIKE basi ATAKUTANA NA JAMBO LA KUTUFUNDISHA SISI WENGINE......

Haiwezekani watu watake kutia KIJINGA CHA MOTO katika nyasi kavu zilizoezekea NYUMBA YETU halafu sote tucheke na kuwapigia makofi.....

Yako Mambo ya MASKHARA lakini si UTULIVU WA NYUMBA ZETU NA NCHI KWA UJUMLA!!!

#StaunchSupporterOfTanzania
#DieHardFanOfJMT
 
Dah kuna watu wanasikitisha yani hadi kesi ya masheikh wa uamsho anatupiwa zigo Magufuli wakati kila mtu anajua kuwa hao masheikh wamekamatwa kwenye utawala wenye demokrasia wa JK na si Magufuli.
 
Kwanini kesi ya hovyo kama hii isifutwe?wazee wa watu wapumue?ushahidi gani huo unatafutwa miaka zaidi ya miwili?
 
Back
Top Bottom