Kwan Hao nao walishtakiwa?! Au Hii kesi ya matumizi ni ya watu maalum?![emoji24]Tunda
T.I.D
Mr Blue
Na.......
Kwan Hao nao walishtakiwa?! Au Hii kesi ya matumizi ni ya watu maalum?![emoji24]Tunda
T.I.D
Mr Blue
Na.......
Wapo kitaa wanakula bata.Kwan Hao nao walishtakiwa?! Au Hii kesi ya matumizi ni ya watu maalum?![emoji24]
Ukoo wako ulishagundua demand hata moja katika jamii yetu ili japo aondoe watanzania kwenye ajira kandamizi za wahindi???Demand ndio inawapa watz ajira na sio huyo manji na kampuni zake, ukiacha wewe haimaanishi unaondoka na demand, watakuja wengine na kuziba pengo. Kumbuka, kinachotoa ajira ni demand,sio mtu.Leo bahkressa akakosa kabisa kuuza hata chupa moja ya maji, ataendelea na biashara hiyo? Ila kwa kua demand ya maji ipo basi anauza na watu wanapata ajira. Embu aache kutengeneza hayo maji uone kama hakuna kampun 10 na zaidi hazijaanzishwa ku-cover hilo pengo na kutoa ajira sawia kama sio zaidi. Mtu hatoi ajira hata siku moja, ni DEMAND ndio inaajiri watu, mpumbavu kabisa wewe kutetea wauza unga hapa
Hizo demand usemazo wanaziona wahindi tuu??? Think out of the box kuwa kuna mapungufu kwa ndani ya ubongo yakoDemand ndio inawapa watz ajira na sio huyo manji na kampuni zake, ukiacha wewe haimaanishi unaondoka na demand, watakuja wengine na kuziba pengo. Kumbuka, kinachotoa ajira ni demand,sio mtu.Leo bahkressa akakosa kabisa kuuza hata chupa moja ya maji, ataendelea na biashara hiyo? Ila kwa kua demand ya maji ipo basi anauza na watu wanapata ajira. Embu aache kutengeneza hayo maji uone kama hakuna kampun 10 na zaidihazijaanzishwa ku-cover hilo pengo nakutoa ajira sawia kama sio zaidi. Mtu hatoi ajira hata siku moja, ni DEMAND ndio inaajiri watu, mpumbavu kabisa wewekutetea wauza unga hapa
Post imesomeka vizuri???Tena wamelaaniwa sana hao watetea wauza unga na users
Huyo wakufungua kiwanda kwa sasa yuko wapi wewe, na huyo manji sio muuzaji , mmekukuruka mmeishia kumpa utumiaji, kalaghabao wewe.Demand ndio inawapa watz ajira na sio huyo manji na kampuni zake, ukiacha wewe haimaanishi unaondoka na demand, watakuja wengine na kuziba pengo. Kumbuka, kinachotoa ajira ni demand,sio mtu.Leo bahkressa akakosa kabisa kuuza hata chupa moja ya maji, ataendelea na biashara hiyo? Ila kwa kua demand ya maji ipo basi anauza na watu wanapata ajira. Embu aache kutengeneza hayo maji uone kama hakuna kampun 10 na zaidi hazijaanzishwa ku-cover hilo pengo na kutoa ajira sawia kama sio zaidi. Mtu hatoi ajira hata siku moja, ni DEMAND ndio inaajiri watu, mpumbavu kabisa wewe kutetea wauza unga hapa
Mbona hujachangamkia ruzuku ukaenda kuhudumia demand huko vijijini kwetu???Tofautisha demand kwenye ripe market na unripe market! Hata siku moja, private sector haiwezi kwenda kwenye soko ambalo halijaiva, ni jukumu la serikali kwenda kwenye unripe markets. Hata siku moja, Tigo au Airtel hawawezi kwenda kusimika minara ya mabilioni ya fedha ili kuhudumua watu 100 au 200, thats a total loss! Ila serikali inaweza ikawapa ruzuku ili wapeleke mawasiliano huko na si vinginevyo!
Hakuna cha muhindi au mbongo ukivunja sheria za nchi no kushuhulikiwa tu hatutaki ngonjera
Ulishawahi kumuona akitumia au maneno ya mtaani ndio nawe unayashupalia?wamemuweka ndani ili kujua kama atapata arosto au la, baada ya kukaa ndani kwa muda arosto ilipoanza kuuma mwilini ikabidi awe mdogo tu. usiongee kitu ambacho haukijui, manji hawezi kuja kwako leo na kusema anatumia. sema kinachomsaidia ni kwamba kosa aliloshitakiwa nalo ni dogo sana, kosa la kutumia madawa, atalipa faini au kifungo kidogo option, ila angekuwa anauza, ni kifungo cha maisha na hakuna msaliamtume. kutumia anatumia kweli tusitetee bure, kama haujui, subiri muda si mrefu utajua.
Wewe nae umeng'ang'ana na arosto!Dawa ya mtu anaebisha kwamba hatumii ni kumfungia kwa siku 2 au 3 tu, basi..., arosto ikimshika tu, amekwisha, atakiri na kuapa kwa nguvu zote kwa ni mtumiaji ili aachiwe, hana ujanja, nadhani ndio yaliyomkuta, arosto naskia ni mbaya sana!
Angalau kwa maswali ya muanzisha uzi umeyajibu kiuchumi kidogoDemand ndio inawapa watz ajira na sio huyo manji na kampuni zake, ukiacha wewe haimaanishi unaondoka na demand, watakuja wengine na kuziba pengo. Kumbuka, kinachotoa ajira ni demand,sio mtu.Leo bahkressa akakosa kabisa kuuza hata chupa moja ya maji, ataendelea na biashara hiyo? Ila kwa kua demand ya maji ipo basi anauza na watu wanapata ajira. Embu aache kutengeneza hayo maji uone kama hakuna kampun 10 na zaidi hazijaanzishwa ku-cover hilo pengo na kutoa ajira sawia kama sio zaidi. Mtu hatoi ajira hata siku moja, ni DEMAND ndio inaajiri watu, mpumbavu kabisa wewe kutetea wauza unga hapa
Uwe unafatilia habri wwYusuph Manji ndio Mtuhumiwa pekee katika igizo Ka Makonda aliewekwa Mahabusu muda mrefu zaidi akituhumiwa kuwa Muuza dawa za kulevya na sasa imebadililishwa Tuhuma na kuwa Mtumiaji
Watanzania wanachukizwa na matendo ya mtu na siyo "race" yake. Halafu maswali yote uliyouliza inaonekana kama umeshikishwa dodoki lenye maji ya sabuni ili kumuogesha Mangi, sijui Maji ili atakasike. Lakini kwa awamu hii na kutokana na raia kuelimika, utetetezi wa waovu na wavunja sheria haujapata popote kusikilizwa na kuungwa mkono. Iwe kwa wanasiasa au raia yeyote kidomodomo mwenye kipaji cha kuuchonga. Zama hizi zimebadilika sana.Kuna watanzania hawataki kujua facts juu ya issue zinazomkumba Manji currently. Wao walio wengi wanapigilia msumari kuwa kwa sababu ni mhindi ahukumiwe barabara! Mwingine anasema wahindi wanatutesa makazini.
Swali la msingi.
1.Je, tumelazimishwa kufanya kazi kwa wahindi?
2. Je, wahindi walitufuata vyuoni kilazima kwenda kuwatumikia?
3. Je, kwanini tusifanye kazi kwenye kampuni za wabongo wenzetu?
4. Tuliopo kwa wahindi wengi wetu tumezunguka na vyeti, hamuoni kama ni mateso kwann tusikae maskani na vyeti vyetu?
5. Je, mmesahau kuwa wamesaidia wengi wetu kutoonekana wazururaji?
6. Kwanini sisi wenyewe tumeshindwa kuwapa ajira watanzania wenzetu.
7. Ulishajiuliza watu wangapi Tanzania hii wanaishi kwa business ya Manji na wahindi wengine? Au kwa kuajiriwa wao moja kwa moja au wategemezi?
NB: My take let justice take it's line tuondoe mihemko isiyo na tija.
Lakini kwa watuhumiwa wote wa sakata hili, ni Manji pekee aliyemtukana Mh. Mkuu wa mkoa.Yusuph Manji ndio Mtuhumiwa pekee katika igizo Ka Makonda aliewekwa Mahabusu muda mrefu zaidi akituhumiwa kuwa Muuza dawa za kulevya na sasa imebadililishwa Tuhuma na kuwa Mtumiaji
Mawazo ya kisinzonje, badala ya kuuza sasa kesi ya kutumia, mtajichanganya sana, wasukuma tangu lini wakaongoza nchi, kukurupuka na kuleta ushamba mjini, aibuuu yaoHakuna cha muhindi au mbongo ukivunja sheria za nchi no kushuhulikiwa tu hatutaki ngonjera
Una uhakika manji alitajwa kuwa muuzaji?Siku Makonda akitangaza Wauzaji Papa wa Unga Nchini ulikuwa Wapi Ndugu yangu?
Unajua kwanini Manji na Wema Sepetu Majina Yao yalitangazwa kwny orodha na Siku tofauti?