Kesi ya Manji na hisia za watanzania

Kesi ya Manji na hisia za watanzania

Masikini siku zote kufikiri kwetu ni kidogo sana, Manji leo ni adui lakini kuna watu zaidi ya laki 1 wanakula sababu ya Manji.
Naomba unisaidie hapa, Raia au Mtu yoyote Tajiri,Masikini au Maarufu wa Taifa hili akivunja Sheria na taratibu JE ahukumiwe au asihukumiwe..?
 
Mengi Tajiri kushinda Manji ????!!! Nimecheka kwa nguvu aisee
 
Hapa ni Mtanzani muovu na sio Mihindi muovu. Ahukumiwe kwa mujibu wa sheria kama mkazi na Diwani wa Mbagara!
 
Kanuni za matajiri hasa Drugloads duniani kote hutengeneza Himaya miongoni mwa watu maskini ili iwe kinga pindi mambo yakibumbuluka kama hivi Manji na Wanayanga!
 
Hakuna cha muhindi au mbongo ukivunja sheria za nchi no kushuhulikiwa tu hatutaki ngonjera
Sawa-sawa!
Sio watu wanatanguliza mihemuko na Mahaba Juu ya Watu wanaowakubali haswa hawa Watu Maarufu.

"SHERIA NI MSEMONO HUKATA HUKU NA HUKU"
 
Demand ndio inawapa watz ajira na sio huyo manji na kampuni zake, ukiacha wewe haimaanishi unaondoka na demand, watakuja wengine na kuziba pengo. Kumbuka, kinachotoa ajira ni demand,sio mtu.Leo bahkressa akakosa kabisa kuuza hata chupa moja ya maji, ataendelea na biashara hiyo? Ila kwa kua demand ya maji ipo basi anauza na watu wanapata ajira. Embu aache kutengeneza hayo maji uone kama hakuna kampun 10 na zaidi hazijaanzishwa ku-cover hilo pengo na kutoa ajira sawia kama sio zaidi. Mtu hatoi ajira hata siku moja, ni DEMAND ndio inaajiri watu, mpumbavu kabisa wewe kutetea wauza unga hapa
hayo makampuni unafikiri yanaanzishwa bila mtaji?
 
Tofautisha demand kwenye ripe market na unripe market! Hata siku moja, private sector haiwezi kwenda kwenye soko ambalo halijaiva, ni jukumu la serikali kwenda kwenye unripe markets. Hata siku moja, Tigo au Airtel hawawezi kwenda kusimika minara ya mabilioni ya fedha ili kuhudumua watu 100 au 200, thats a total loss! Ila serikali inaweza ikawapa ruzuku ili wapeleke mawasiliano huko na si vinginevyo!
Jaribu kukubali watu wanaoigundua hiyo ripe demand na kuchukua hatua ya kuwekeza mitaji na muda wao. Sio kila mtu ana utaalam na uthubutu huo.
 
Hizi akili zote mnazo waste hapa kujadili ya watu labda mngetumia vizuri mngeshaanzisha kiwanda kidogo na kujikomboa.
 
Sawa-sawa!
Sio watu wanatanguliza mihemuko na Mahaba Juu ya Watu wanaowakubali haswa hawa Watu Maarufu.

"SHERIA NI MSEMONO HUKATA HUKU NA HUKU"
Ukiangalia post imeshauri watu waiache justice ichukue mkondo wake. Hapo mhemko upo wapi?? Au Desa uliloingia nalo silo??
 
Mtoa thready nikutahadhalishe tu tena kwa herufi kubwa ONDOA UCHAMA UTAFANIKIWA
Unaweza uuambie umma uliopo humu ndani katika thread halisi wapi chama kimeguswa??? Au ndio kusema ukirusha jiwe kichakani ukisikia mlio ujue kuna aliepatikana???
 
Watanzania wanachukizwa na matendo ya mtu na siyo "race" yake. Halafu maswali yote uliyouliza inaonekana kama umeshikishwa dodoki lenye maji ya sabuni ili kumuogesha Mangi, sijui Maji ili atakasike. Lakini kwa awamu hii na kutokana na raia kuelimika, utetetezi wa waovu na wavunja sheria haujapata popote kusikilizwa na kuungwa mkono. Iwe kwa wanasiasa au raia yeyote kidomodomo mwenye kipaji cha kuuchonga. Zama hizi zimebadilika sana.
Sasa katika hoja badala upembue na utoe majibu yakinifu wewe unakuja na singeli za dodoki na maji!!!
 
Demand ndio inawapa watz ajira na sio huyo manji na kampuni zake, ukiacha wewe haimaanishi unaondoka na demand, watakuja wengine na kuziba pengo. Kumbuka, kinachotoa ajira ni demand,sio mtu.Leo bahkressa akakosa kabisa kuuza hata chupa moja ya maji, ataendelea na biashara hiyo? Ila kwa kua demand ya maji ipo basi anauza na watu wanapata ajira. Embu aache kutengeneza hayo maji uone kama hakuna kampun 10 na zaidi hazijaanzishwa ku-cover hilo pengo na kutoa ajira sawia kama sio zaidi. Mtu hatoi ajira hata siku moja, ni DEMAND ndio inaajiri watu, mpumbavu kabisa wewe kutetea wauza unga hapa
Well said na ubarikiwe,
 
Watanzania wanachukizwa na matendo ya mtu na siyo "race" yake. Halafu maswali yote uliyouliza inaonekana kama umeshikishwa dodoki lenye maji ya sabuni ili kumuogesha Mangi, sijui Maji ili atakasike. Lakini kwa awamu hii na kutokana na raia kuelimika, utetetezi wa waovu na wavunja sheria haujapata popote kusikilizwa na kuungwa mkono. Iwe kwa wanasiasa au raia yeyote kidomodomo mwenye kipaji cha kuuchonga. Zama hizi zimebadilika sana.
Kwa kweli
 
Usitete ujinga wewe mleta uzi huu. Awe Manji au yeyote yule kama anajihusisha na sembe ni jela tu.
 
Hizi akili zote mnazo waste hapa kujadili ya watu labda mngetumia vizuri mngeshaanzisha kiwanda kidogo na kujikomboa.
Wewe usiye waste akili zako kujadili ya watu umeshaanzisha kiwanda cha kitu gani mpaka sasa?

Mbona na wewe upo humu na unasoma comment?
 
Back
Top Bottom