Kesi ya Manji na hisia za watanzania

Kesi ya Manji na hisia za watanzania

Yusuph Manji ndio Mtuhumiwa pekee katika igizo Ka Makonda aliewekwa Mahabusu muda mrefu zaidi akituhumiwa kuwa Muuza dawa za kulevya na sasa imebadililishwa Tuhuma na kuwa Mtumiaji

Kama ni utumiaji basi sio Manji pekee tuwakamaye watumiaji wote na sio kuwatengenezea mazingira ya tiba.
 
Usitete ujinga wewe mleta uzi huu. Awe Manji au yeyote yule kama anajihusisha na sembe ni jela tu.
Soma bandiko huko. Limetoa angalizo kuwa justice ichukue mkondo wake. Au kidesa umeingia nacho cha somo lingine???
 
Hizi akili zote mnazo waste hapa kujadili ya watu labda mngetumia vizuri mngeshaanzisha kiwanda kidogo na kujikomboa.
Wewe binafsi umeishaanzisha kiwanda cha mfano? Kujadili ya watu hakuepukiki. Jama hivi wewe comment yako tayari uneishajadili ya watu. Kukaa nyuma ya keyboard na kujadili mada zihusuzo watu ni starehe ya kupumzisha akili baada ya kutoka kumenyeka kwa kazi ngumu wewe.
 
Alaaniwe Nyerere na sera zake za ujamaa zilizoufanya uzao wa Mtanzania kuonekana duni mbele ya nchi yao na uso wa Dunia. Bila ujamaa, viwanda hivi vinavyomilikiwa na Wahindi vingekuwa vinamilikiwa na wazawa. Ujamaa uliua mitaji ya babu zetu.
We hujitambui.. uliza Nyerere alirudisha viwanda vingapi kwa wananchi na tukashindwa kuviendeleza.!!?
 
Kumezuka kundi la watetezi wa mafisadi wakiongozwa na Chadema
 
vitu vingine vinachekesha sana, kwahiyo pamoja na kukataa kwamba hatumii dawa za kulevya, baada ya kuwekwa lock up siku kadhaa polisi bila madawa, alosto ikamkuta, ndo kusema ilibidi aseme ukweli ili apone au? manake mtu anaweza kufa, polisi wajanja sana aisee. kama hutumii ngoja ukae ndani siku kadhaa tuone kama hautapata arosto, na arosto ikikukuta lazima utakiri tu kwa nguvu zote kwamba ninatumia madawa naomba mniachie...haya njoo hapa andika maelezo yako halafu ndio wanakuachia.
Sasa mwenye arosto anapelekwa wapi?
 
Usitete ujinga wewe mleta uzi huu. Awe Manji au yeyote yule kama anajihusisha na sembe ni jela tu.
Kwanza una umri gani hapa jf?? Au ndio zile za kukutia TV ukubwani na ulazimishe kujua kucontrol wakati watu wanakuchora?? Umeingia Jf mwaka Jana tuu hivyo usilazimishe kupost hata kama umeona jibu la swali lako kwenye bandiko la awali
 
wamemuweka ndani ili kujua kama atapata arosto au la, baada ya kukaa ndani kwa muda arosto ilipoanza kuuma mwilini ikabidi awe mdogo tu. usiongee kitu ambacho haukijui, manji hawezi kuja kwako leo na kusema anatumia. sema kinachomsaidia ni kwamba kosa aliloshitakiwa nalo ni dogo sana, kosa la kutumia madawa, atalipa faini au kifungo kidogo option, ila angekuwa anauza, ni kifungo cha maisha na hakuna msaliamtume. kutumia anatumia kweli tusitetee bure, kama haujui, subiri muda si mrefu utajua.
Kwahyo mlitaka kujua kama ni teja ama mnashida na mateja?
Kama ni watumiaji si mpite kwenye vituo vya daladala mu wabebe wale wapiga debe.
 
Demand ndio inajenga viwanda sio na kuleta bidhaa eeh, kuna watu wana demand ya maji na umeme huko vijijini na mijini pia na bado hawajapata huo umeme.

Kasome vizur desa ulilofundishwa
Tatizo elimu yetu ya kukariri saaana..
Mtu anapayuka tu DEMAND.
Nasubiria akujibu
 
Inaonkana kabisa wengine mnaleta ushabiki wa Yanga na Simba cz pambano lpo karibu ss mashabki wa Yanga mnadhani mtadhalilishwa sbb upande wa pli ek vzuri kmapato alichokfany hyo mnaemtetea kwa Serekali yyt ile makini icngeweza kuvumiliy yy alitwa akahijiwe hakuwa na sbbu ykujibu eiti kwa dharau kiasi kle hii ni nchi co kijij na ndio maana hta sku hzi Allah anapunguza riziki kea kuwafanya wtu Miungu watu
 
Alaaniwe Nyerere na sera zake za ujamaa zilizoufanya uzao wa Mtanzania kuonekana duni mbele ya nchi yao na uso wa Dunia. Bila ujamaa, viwanda hivi vinavyomilikiwa na Wahindi vingekuwa vinamilikiwa na wazawa. Ujamaa uliua mitaji ya babu zetu.
Kwani hapakuwa na viwanda wakati huo?! We mtu vipi?
 
Hakuna cha muhindi au mbongo ukivunja sheria za nchi no kushuhulikiwa tu hatutaki ngonjera

Mkuu,ni ukweli kuwa sheria za nchi lazima ziheshimiwe na kulindwa. Je huyo raisi wako anaheshimu katiba na kuilinda?
Pili,hatukatai mtu yoyote kupelekwa mahakamani kwa makosa,TID na wengine wengi je hao sio watuhumiwa?
Kwanini wao wamepewa special treatment? Utu hauna rangi wala kabila. Huu ni uonevu na ushenzi wa hali ya juu.
Ubaguzina haya mambo magufuli anayofanya either kwa ubabe au kwa roho mbaya kwa namna yoyote anayojua yeye vitamrudia. Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Manji kipindi cha JK, alishawahi kumuonyeshea zarau Mtukufu, asa pale ilipofikia hatua kumwambia JPM, siongei na mbwa ila naongea na mwenye mbwa...

so mzee wa visasi kaamua kumuonyesha yeye ni nani sasa..

Mtukufu bado ajaanza kujenga viwanda, bado anapambana na maadui zake wote mpka waishe, ndio maana msemaji wake anasema hakuna jiwe litakalo salia juu ya jiwe..

tafakari
 
Umasikini ndio mnajadilli watu humu na hata haujui pato lako, Kodi unalipa kiasi gani kwa Mwaka...mpo mpo tu
 
Kwanza maji sio muhindi yule jamaa ni myemeni watanzania walio wengi tumetawaliwa chuki unadhani ukimchukia tajiri itakusandia kuondokana na umaskini
 
Watu wanavyomtetea manji, utazani yy malaika, kisa tajiri au labda matajiri hawakosei, kwa hiyo hayo magereza tumewatengenezea masikini.
 
Sikupingi mkuu Mimi binafsi sina chama nawala simshakikii mtu anaevunja sheria za nchi mimi sijui kama anamakosa au laa ila tusiweke hisia zetu kwenye hili jambo ivi niwabongo wangapi wamehukumiwa kabisa kwa kesi za kusingiziwa name hawapati hata mtu wa kuwatetea tuwaachie wahusika kama wakimuhujumu Mungu atamlipia tu maana ukweli unaishi milele
Mkuu,ni ukweli kuwa sheria za nchi lazima ziheshimiwe na kulindwa. Je huyo raisi wako anaheshimu katiba na kuilinda?
Pili,hatukatai mtu yoyote kupelekwa mahakamani kwa makosa,TID na wengine wengi je hao sio watuhumiwa?
Kwanini wao wamepewa special treatment? Utu hauna rangi wala kabila. Huu ni uonevu na ushenzi wa hali ya juu.
Ubaguzina haya mambo magufuli anayofanya either kwa ubabe au kwa roho mbaya kwa namna yoyote anayojua yeye vitamrudia. Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Alaaniwe Nyerere na sera zake za ujamaa zilizoufanya uzao wa Mtanzania kuonekana duni mbele ya nchi yao na uso wa Dunia. Bila ujamaa, viwanda hivi vinavyomilikiwa na Wahindi vingekuwa vinamilikiwa na wazawa. Ujamaa uliua mitaji ya babu zetu.
Uvivu wa kufikiri na mawazo ya kijiweni ukute unazaliwa hata Nyerere unasikia tu alitawala..unaweka masaburi chini na kulaumu ujamaa..fanya Kazi kijana hayo mambo husikii kina mengi na kusaga na matajiri wengine waliochangamkia fursa wanasema
 
Back
Top Bottom