Kesi ya Manji na hisia za watanzania

Kesi ya Manji na hisia za watanzania

We hujitambui.. uliza Nyerere alirudisha viwanda vingapi kwa wananchi na tukashindwa kuviendeleza.!!?
Umesema vizuri sana. Tatizo watoa maada wanapost hapa bila kufikiria kidogo. Angalia viwanda vilvyokufa kama cha nyama pale kawe. Urafiki pale ubungo. Mwatex mwanza nk
 
Alaaniwe Nyerere na sera zake za ujamaa zilizoufanya uzao wa Mtanzania kuonekana duni mbele ya nchi yao na uso wa Dunia. Bila ujamaa, viwanda hivi vinavyomilikiwa na Wahindi vingekuwa vinamilikiwa na wazawa. Ujamaa uliua mitaji ya babu zetu.
Wee acha tu
 
Hii awamu haina dira...bora ata aliemaliza na mwendokasi
 
Back
Top Bottom