Kesi ya Manji na hisia za watanzania

Kesi ya Manji na hisia za watanzania

wamemuweka ndani ili kujua kama atapata arosto au la, baada ya kukaa ndani kwa muda arosto ilipoanza kuuma mwilini ikabidi awe mdogo tu. usiongee kitu ambacho haukijui, manji hawezi kuja kwako leo na kusema anatumia. sema kinachomsaidia ni kwamba kosa aliloshitakiwa nalo ni dogo sana, kosa la kutumia madawa, atalipa faini au kifungo kidogo option, ila angekuwa anauza, ni kifungo cha maisha na hakuna msaliamtume. kutumia anatumia kweli tusitetee bure, kama haujui, subiri muda si mrefu utajua.
Ndio mkuu manji ni teja na wanaomtetea
 
Unaijua Arosto au unakaririr story za Wasap?

Mwananchi ilionesha akiwa anapelekwa Hospital akiwa anashuka kwny ngazi za Central kwa Miguu yake Mwenyewe, kaulize Wajuzi Arosto maana yake ni Nini na inakuaje!

Tuhuma zilikuwa kuwa Muuzaji Papa na hata Jina lake liliwekwa Awamu ya Pili ya Wauza unga mapapa iweje Sasa afunguliwe kosa sawa na Wema Sepetu la utumiaji?
 
Mengi angekuwa yupo na anafanya biashara India na amepata matatizo kama aliyopata Manji wahindi wangesema hvyo hvyo ambavyo sisi watanganyika tunasema so hyo ni kitu cha kawaida tu kwa jamii na dunia ya utengano tuliyo nayo kwa sasa.
 
Mwenzetu hizo tuhuma za kuuza madawa ilizipata wapi!?

Siku Makonda akitangaza Wauzaji Papa wa Unga Nchini ulikuwa Wapi Ndugu yangu?

Unajua kwanini Manji na Wema Sepetu Majina Yao yalitangazwa kwny orodha na Siku tofauti?
 
Dawa ya mtu anaebisha kwamba hatumii ni kumfungia kwa siku 2 au 3 tu, basi..., arosto ikimshika tu, amekwisha, atakiri na kuapa kwa nguvu zote kwa ni mtumiaji ili aachiwe, hana ujanja, nadhani ndio yaliyomkuta, arosto naskia ni mbaya sana!
hahaha, sipati picha alivyokuwa anazungukazunguka mle ndani lock up tangu arosto inaanza hadi anazidiwa kabisa na kupelekwa muhimbili, hapohapo mawazo kichwani yapo kwamba wana yanga watanielewaje, mara wafanyabiashara duniani watanielewaje, mawazo rundo.

however, inabidi tumwonee huruma kwasababu huyu ni mtumiaji, ni mgonjwa kama wagonjwa wengine tu. watu wabaya ni wale wanaosambaza na kuuza.
 
Alaaniwe Nyerere na sera zake za ujamaa zilizoufanya uzao wa Mtanzania kuonekana duni mbele ya nchi yao na uso wa Dunia. Bila ujamaa, viwanda hivi vinavyomilikiwa na Wahindi vingekuwa vinamilikiwa na wazawa. Ujamaa uliua mitaji ya babu zetu.
Hahaha
 
Unaijua Arosto au unakaririr story za Wasap?

Mwananchi ilionesha akiwa anapelekwa Hospital akiwa anashuka kwny ngazi za Central kwa Miguu yake Mwenyewe, kaulize Wajuzi Arosto maana yake ni Nini na inakuaje!

Tuhuma zilikuwa kuwa Muuzaji Papa na hata Jina lake liliwekwa Awamu ya Pili ya Wauza unga mapapa iweje Sasa afunguliwe kosa sawa na Wema Sepetu la utumiaji?
Swali nzuri sana mkuu
 
Demand ndio inajenga viwanda sio na kuleta bidhaa eeh, kuna watu wana demand ya maji na umeme huko vijijini na mijini pia na bado hawajapata huo umeme.

Kasome vizur desa ulilofundishwa
Tofautisha demand kwenye ripe market na unripe market! Hata siku moja, private sector haiwezi kwenda kwenye soko ambalo halijaiva, ni jukumu la serikali kwenda kwenye unripe markets. Hata siku moja, Tigo au Airtel hawawezi kwenda kusimika minara ya mabilioni ya fedha ili kuhudumua watu 100 au 200, thats a total loss! Ila serikali inaweza ikawapa ruzuku ili wapeleke mawasiliano huko na si vinginevyo!
 
Masikini siku zote kufikiri kwetu ni kidogo sana, Manji leo ni adui lakini kuna watu zaidi ya laki 1 wanakula sababu ya Manji.

Uwe unaangalia nani wa ' kuwadanganya ' humu JF tafadhali. Kama Manji tu katika Biashara zake zote ndani na nje ya nchi hajaajiri Watu hata 3000 tu leo utasemaje kuwa analisha Watu Laki Moja? Takwimu zisizofichwa na zilizo wazi zinasema kuwa kwa Tanzania ' Tajiri ' namba moja ni Mohammed Dewji ' Mo ' ambaye kwa Afrika nzima ni wa 21 na huyo huyo ' Mo ' ameajiri Wafanyakazi walio ndani na nje ya Tanzania 25,000 je unadhani atakuwa analisha Watu wangapi? Acheni kumsifia Yusuph Manji kuwa ni Tajiri wakati ni ' Kapuku ' tu mbele ya Matajiri wenzie. Kwa hapa Tanzania tu hata Mwenyekiti wa Makampuni Tanzu ya IPP Mzee Reginald Mengi anamzidi Manji wenu wa Pesa. Haya endelea kuwadanganya ' Wadanganyika '.
 
Nilikuwa nakuheshimu kuwa ni mtu unayejua kujenga hoja kumbe na wewe ni walewale? kumbuka kuna waajiriwa na direct na indirect acha kukariri, Manji akiwa kapuku wewe utaitwaje? tuache siasa jamaa pesa ipo hata kama ni mhindi, pesa haijifichi mangi, hata wewe ungekuwa na hela lazima tungekuwa tunakufahamu. Hakuna anayeunga mkono madawa ya kulevya labda awe na ulemavu wa akili.
 
Sio Manji, tu wote waliokamatwa wamepata support ya wananchi sababu ni jinsi zoezi lilivyoendeshwa na pia dhamira ya zoezi hili wengi wana mashaka nayo
 
Alaaniwe Nyerere na sera zake za ujamaa zilizoufanya uzao wa Mtanzania kuonekana duni mbele ya nchi yao na uso wa Dunia. Bila ujamaa, viwanda hivi vinavyomilikiwa na Wahindi vingekuwa vinamilikiwa na wazawa. Ujamaa uliua mitaji ya babu zetu.
Mkuu omba radhi kabisa
 
Kumchukia tajiri hakukufanyi wewe masikini kufanana nae wala hakutakufanya kumshusha hadhi.
 
Back
Top Bottom