Arsenalist
Member
- Oct 4, 2013
- 74
- 46
Kuna watanzania hawataki kujua facts juu ya issue zinazomkumba Manji currently. Wao walio wengi wanapigilia msumari kuwa kwa sababu ni mhindi ahukumiwe barabara! Mwingine anasema wahindi wanatutesa makazini.
Swali la msingi.
1.Je, tumelazimishwa kufanya kazi kwa wahindi?
2. Je, wahindi walitufuata vyuoni kilazima kwenda kuwatumikia?
3. Je, kwanini tusifanye kazi kwenye kampuni za wabongo wenzetu?
4. Tuliopo kwa wahindi wengi wetu tumezunguka na vyeti, hamuoni kama ni mateso kwann tusikae maskani na vyeti vyetu?
5. Je, mmesahau kuwa wamesaidia wengi wetu kutoonekana wazururaji?
6. Kwanini sisi wenyewe tumeshindwa kuwapa ajira watanzania wenzetu.
7. Ulishajiuliza watu wangapi Tanzania hii wanaishi kwa business ya Manji na wahindi wengine? Au kwa kuajiriwa wao moja kwa moja au wategemezi?
NB: My take let justice take it's line tuondoe mihemko isiyo na tija.