Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi

Mange kafichua madudu mengi sana...

Sema wale mafisadi walio mreport META walihusisha na masuala ya Mange kipindi anafanya issue zake zile za connection kwenye app yake, wakahusianisha kwamba ni kazi yake kuchafua watu.. meta walipofuatilia wakaona alikuwa kweli anafanya issue za connection kabla... ndipo wakapiga pini na kutia ngumu, pasipo hivyo ilikuwa ngumu sana kufuta account yake...

Lakini yote na yote mi naona hata zile connection alikuwa anaachia ni sehemu ya harakati tu, maana wasanii akili hawana...
 


Maria sarungi hakuwahi kufanya content za kutoa connection za watu lakini hichi ndio kilichotokea.

Ishu ni kwamba meta wanapokea maelekezo wapo kifaida zaidi, hawataki kufungiwa hapa bongo kama X.
 

Mgogoro wa Mange na Meta

Lkn kununa anune mwengine
Mbona Nyani unaenda kubadilika kuwa Ngedere Ngabu

Upepo wa chuki dhidi ya RAIS Dk Samia Suluhu Hassan
inakupoteza kwenye
misingi yako‼️

Kiasi kuchanganya mambo‼️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…