Busara ndo inayomsaidia Mbowe laiti wote wangejifunza kuwa na busara kama yeye ingesaidia sana.
Kwani mimi naamini kuna namna ya kuonyesha kukasirishwa na jambo na ukatoa mawazo yako kwa hasira bila hata chembe ya tusi na ukaeleweka vizuri tu.
Nadhani mbunge Serukamba atakuwa amekupata pia.