Kesi ya Lissu na wenzake: Makinda ahalalisha maamuzi ya Ndugai, aingiza kipengele kwenye kanuni

Busara ndo inayomsaidia Mbowe laiti wote wangejifunza kuwa na busara kama yeye ingesaidia sana.
Kwani mimi naamini kuna namna ya kuonyesha kukasirishwa na jambo na ukatoa mawazo yako kwa hasira bila hata chembe ya tusi na ukaeleweka vizuri tu.

Nadhani mbunge Serukamba atakuwa amekupata pia.
 
Umehama hoja ya msingi.
Tulikuwa tunajadiliana uhalali wa matendo ya Ndugai. Wewe umehamia kwenye matokeo ya matendo ya mtenda (ndugai) ukaenda kwenye usahihi wa majibu (reaction) ya mtendwa Lissu.
Tuanze kwa mtenda Ndugai.
Je, uamuzi wa kumzuia Lissu asiulize au kuombwa mwongozo ni kwa mujibu kanuni gani?
Tukitoka kwenye uhalali wa maamuzi ya mtendaji wa tendo au action ( Ndugai) ndo tuhamie kwenye majibu (reaction)
ya Lissu na wenzake.

mkuu wewe unazijua kanuni za bunge hadi uhoji kanuni aliyotumia NDUGAI kumwadhibu LISSU? au ndo unakuwa bendera fuata upepo, eti kwa sababu MBOWE kaomba muongozo? na SPIKA alivyolifafanua suala hilo umelewa nini?
 
heee sasa kwa mamlaka haya ya spika na naibu wake, si ajabu bunge kuwa kama mfalme juha.
maana akijisikia tu kufanya jambo linafanyika na kuanzia siku hiyi linageuka kuwa kanuni.
kazi tunayo watz
 
maandamano ni hatua ya mwisho ya watu walioshindwa kuafikiana

Binafsi siwezi kuandamana kwa ajili ya kuwatetea watu ambao wanavunja kanuni ambazo waliziweka wenyewe. Wale akina LISSU na wenzake walishazoea kupata umaarufu kupitia Runga kamwe hawawezi kuonekana kwenye maandamano kwa vile wanajua wanalolifanya ni kwa ajili ya kujipatia umaarufu na siyo kwa maslahi ya taifa
 
Nadhani alijipa tahadhari za kutosha huyu spika ikiwa ni pamoja na kuwa na pumpus za kutosha kwenye mkoba na nyingine zikwekwa tayari.Sasa kwa mda wa siku sita atapumzika kuzivaa
 
Kwenye thread kama hizo wenye jaziba hatucheleweshi Ban maana kilichofanyika hakivumiliki kabisa labda kwa matahira tu.
 
Nilidhani una akili kumbe umejaza makamasi kichwani, Lugha zipi za matusi zilizotolewa na wabunge waliofungiwa? ul;iona wapi mtu anapewa adhabu kisha ssheria ndiyo inatungwa kama siyo upumbavu wa ccm na serikali yake....
CCM itatawala daima kama haya ndiyo mawazo ya wafuasi wa CHADEMA, mnashindwa nini kujibu hoja na badala yake mnaporomosha matusi mpaka mtandaoni? MODS tambueni sote ni watanzania tunaochangia mijadala humu JF, tulindeni dhidi ya matusi kama haya akina CRASHWISE.
 
mkuu wewe unazijua kanuni za bunge hadi uhoji kanuni aliyotumia NDUGAI kumwadhibu LISSU? au ndo unakuwa bendera fuata upepo, eti kwa sababu MBOWE kaomba muongozo? na SPIKA alivyolifafanua suala hilo umelewa nini?

Kanuni mbona zinapatikana tu ukitaka.
 
Binafsi siwezi kuandamana kwa ajili ya kuwatetea watu ambao wanavunja kanuni ambazo waliziweka wenyewe. Wale akina LISSU na wenzake walishazoea kupata umaarufu kupitia Runga kamwe hawawezi kuonekana kwenye maandamano kwa vile wanajua wanalolifanya ni kwa ajili ya kujipatia umaarufu na siyo kwa maslahi ya taifa

halafu hawa akina lissu mwanzo wa maandamano utawaona mbele. zikianza kupigwa zile za moshi hawaonekani. wanakaa kwenye magari yao wanawaangalia nyie mnavyosulubiwa
 
Nadhani alijipa tahadhari za kutosha huyu spika ikiwa ni pamoja na kuwa na pumpus za kutosha kwenye mkoba na nyingine zikwekwa tayari.Sasa kwa mda wa siku sita atapumzika kuzivaa

acha matusi wewe. hujui unamtukana mama yako? kuna tofauti gani kati ya spika makinda na mama yako
 
Nadhani alijipa tahadhari za kutosha huyu spika ikiwa ni pamoja na kuwa na pumpus za kutosha kwenye mkoba na nyingine zikwekwa tayari.Sasa kwa mda wa siku sita atapumzika kuzivaa

Hebu cuhukulia mfano mama yako ndo anatukanwa tusi kama hilo mkuu unajisikiaje? by theway hili tusi linachangia nini kwenye mada hii ili kuboresha mjadala? Ni wazi kuwa CHADEMA walifikiri ofisi ya SPIKA ni dhaifu na wakaamua kuvunja kanuni makusudi na kutaka kulifanya bunge liwe kama genge la wahuni. Haya matusi yanayoporomoshwa humu JF ni dhahiri CDM hamna hoja katika hili.
 
heee sasa kwa mamlaka haya ya spika na naibu wake, si ajabu bunge kuwa kama mfalme juha.
maana akijisikia tu kufanya jambo linafanyika na kuanzia siku hiyi linageuka kuwa kanuni.
kazi tunayo watz

kama nimemsikia vizuri ndugai wakati anaongea star tv asubuhi ya leo alisema kuwa kanuni zilizopo zilitungwa kwa mategemeo kuwa bunge litakuwa na wabunge wastaarabu. so akasema kuwa kwa sasa bunge limejaa wabunge wahuni so hata kanuni za bunge zinapaswa kwenda kihuni huni tu ili kuendana na hadhi zao
 
CCM itatawala daima kama haya ndiyo mawazo ya wafuasi wa CHADEMA, mnashindwa nini kujibu hoja na badala yake mnaporomosha matusi mpaka mtandaoni? MODS tambueni sote ni watanzania tunaochangia mijadala humu JF, tulindeni dhidi ya matusi kama haya akina CRASHWISE.
hujayasikia ya wabunge wenu huko bungeni, umekuja kuyaona ya akina crashwise..au F****you kikwenu ni thank you....
 
Kwa staili hii Anne Makinda asidhani kwamba anaisaidia CCM ingawaje kwa juu juu ndivyo inavyoonekana. Kilicho dhahiri ni kwamba yeye na naibu wake wanajiharibia historia yao. Wakumbuke kwamba kila wanachokifanya kinaingia katika kumbukumbu ya historia ambayo haiwezi kufutika. Hivi sasa spika na naibu wake hawana heshima yoyote mbele ya jamii. Najua wabunge wengi tu wa CCM ambao wanalalamika kwamba mwenendo wa watu wawili hawa unakiharibia sifa chama chao.
 
mkuu mm, kwanini lissu na wenzake walipewa adhabu ya kutohudhuria bunge siku tano???ni kwa kosa la kukaidi kutoka nje na kufanya vurugu (nakusaidia kwa kuwa hujui exactly what happened)..nakuomba kwa heshima yako uliyonayo usiharibu heshima yako..tuache uchama kwa mambo ya msingi na ya kitaifa.
Na maneno aliyosema Serukamba hayastahili adhabu yoyote?

Unaweza kuyatamka mbele ya watoto wako?

Hizo double standards za kiti cha spika ndio chanzo cha yote hayo. Tuna macho na tunaona, na iko wazi kabisa hiyo.

Tuwe wakweli hapo.
 
Hebu cuhukulia mfano mama yako ndo anatukanwa tusi kama hilo mkuu unajisikiaje? by theway hili tusi linachangia nini kwenye mada hii ili kuboresha mjadala? Ni wazi kuwa CHADEMA walifikiri ofisi ya SPIKA ni dhaifu na wakaamua kuvunja kanuni makusudi na kutaka kulifanya bunge liwe kama genge la wahuni. Haya matusi yanayoporomoshwa humu JF ni dhahiri CDM hamna hoja katika hili.
Naibu, Sika kwa kuwa wanaliendesha bunge kihuni kwa kutumia pesa zetu na sisi tutawaona wahuni na majibu tutawapa ya kihuni huni kama wanavyo fanya wao bungeni...hata hivyo kama unajidai unabusara sana mpelekee Makinda au Ndugai, busara zianzie bungeni......
 
Busara ya mtu yeyote MUUNGWANA ni kuheshimu maamuzi ya mkuu wako hata kama huyapendi.
Au kukubali agizo kutoka kwa mamlaka iliyopo kihalali kwa faida ya baadaye.

Kinyume chake ni kukosa ADABU.

Ushauri wa bure kwa CDM. Kwa staili hii wasahau 2015 kwa mazonge ya UDINI na UGAIDI.
Wajipange kwa 2025. Waige mfano wa MUSLIM BROTHERHOOD!
washirikiane na wananchi katika kutoa huduma za jamii.
wasilazimishe kupendwa. Itawagharimu sana.
 
Mkuu Aweda.

Wewe najua unaweza kufikisha maombi haya kwa Mwenyekiti na ambaye kwa bahati nzuri yuko Bungeni na nimsemaji wa Kambi Rasmi ya Upinzani.
Kwamba kuna haja ya kuitisha Kikao cha Dharua Mchana huu na kujadili kichama Wabunge wa CDM hatua ya kuchukua.
Haiwezekani kuendesha Bunge kwa utashiwa Spika na Naibu wake.Na mbaya zaidi naweza kusema kuwa utakuwa ni U.b.w.e.g.e kwa Wabunge wa CDM kuwapo Bungeni kipindi hii cha siku tano za kuwekwa nje ya Bunge kwa Wabunge wa Chama bila sababu .

Ni fedheha na Aibu. Waachieni ukumbi wakajadiliane wenywewe.Na wasiwasi kuwa bila hatua hii kuchukuliwa mtawapoteza wanachama wengi kwa kuonekana na ninyi mnajali matumbo yenu kupitia maposho.

Mkuu umenena kweli. Hakuna utawala wa sheria hata kidogo. Kwa nini spika na naibu wake waendeshe Bunge kwa upendeleo wa kiasi hiki? Naibu spika hakumsikia mtoa matusi Juma Nkamia? Je hakumsikia Serukamba? Binadamu gani atakubali uonevu wa kiasi hicho.
Haya ndiyo matokeo ya kiti kukaliwa na watu waliotumwa kutumikia maslahi ya watu wachache. Ni hasara sana kwa nchi na watu wake.
 
Back
Top Bottom