Naamini huu ndo utakuwa mwanzo wa mwisho wa kuwa na Spika mburura kama huyu!! Huyu mama akili yake ndogo sana kuweza kukalia kile kiti. Hakika kimempwaya!
Ina maana kanuni za Bunge zinatungwa kwa mtindo huo? Useless speaker!
Kama Spika aliwekwa na mafisadi lazima atakeleze matakwa ya mafisadi kikundi cha familia kumi ndio wamepelekea bunge kuwa danguro la matusi Spika na naibu wake ndio viongozi wa matusi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.