Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,499
Wakuu
Inadaiwa mawakili wa Jamhuri hawajaonekana na hawajarudi Mahakamani mpaka muda huu.
Karani amesimama na kuseeleza kuwa kuna jambo limejitokeza anaenda kutafuta ufafanuzi kwa msajili wa mahakama na atarudi kuleta mrejesho.
Mwenendo wa Kesi > Kesi ya Lissu: Mahakama yatupilia mbali ombi la Jamhuri la kuongeza ushahidi
Kesi iliahirishwa leo majira ya saa nne na dakika 10 mpaka saa tano kamili ambapo ni baada ya Jamhuri kuomba muda kutafakari uamuzi mdogo uliotolewa na mahakama ambao ulikataa kupokelewa kwa notisi ya ushahidi kutokana na kwamba haikidhi sifa kwa mujibu wa Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai kifungu cha 308(1,2,3 na 4).
Mpaka hivi sasa(1:18PM) bado Mahakama haijarejea. Viongozi, wanachama, wafuasi wa Lissu wadau wa sheria bado wapo katika chumba cha mahakama kusubiri mwendelezo wa kesi hiyo.
Wananchi waliofika Mahakamani majira ya Saa saba na nusu mchana wameanza kuimba
Tunaitakaaaaa Jamhuri!…
Tunataitaka Jamhuriiiiiiii!….
Tunaitaaka Jamhuriiii!…