Leo hii nimejaribu kufuatilia kesi hii nimegundua uelewa wa wanasheria wa utetezi umepwaya sana lkn kongole kwa upande wa Jamhuri
Siwezi eleza wapi wamepwaya lkn bila huruma ya SSH kama mama naona jamaa IDU na uenyekiti wake atastaafia akiwa gerezani
Tukutane 16/06,hivi hao wanasheria ndio huwa mnawasifia kweli.
Gap nyingi wamepigwa wameshindwa kuchomoa eti Leo Simba Kufungwa 3 na SBS mnashangaa,tulieni goli liingie kwenu sasa.