BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,020
Huhitaji kuwa na Phd Mkuu ili kujua kwamba kesi ya Godbless Lema si kesi ya kunyimwa dhamana. Mamlaka za juu zisizo na jina zimeshatia mkono wake ili kumkomoa Kamanda Lema. Mamlaka za juu ambazo zinaogopwa kutajwa hadharani wote tunazijua.
habar comrades,
Najaribu kuwaza tu! na nimejiuliza kwa nn mahakama inamnyima Lema dhamana wakati kesi yake inastahili dhamana?..je kesi yake ni ya mauaji mpaka mahakama imnyime dhamana?..hapa kweli hakuna kaarufu ka order kutoka juu?