Kesi ya kupinga matokeo ya Godless Lema

anajaribu kujenga hoja kuwa kama kesi hii ni binafsi mbona tangu jana watu wanajaa mpaka hakuna sehemu ya kusimama, jaji anasema kama ni masila ya umma basi wengi wapi maana lema alishinda kwa kura nyingi sana..
 
jaji anamwambia anachotakiwa ni kumshawishi ili aone kuwa waliofungua kesi wana haki hiyo si vinginevyo..
 
anasema kesi hii siyo binafsi kwa kuwa serikali imetumia bil 100 na zaidi na kuna pesa pia za mashahidi ikiwemo kesi ya lema hivyo inaonyesha jinsi ngani kesi hii siyo binafsi..jaji ana mwambia kama ndiyo huoni kama ndiyo maana imezuia kufungua kesi hovyo..
 
crashwise vipi mkuu, mbona kimya ghafla. tupe update bana.
 
wakili alitaka kujibu hoja ya wakili wa lema kuwa ccm walitakiwa kunukuu kashifa zilizotolewa na kama ni hivyo alitakiwa alie kashifiwa aende kwenye mahakama husika akadai fidia..kiukwe wakili wa ccm amekabwa..ngoja tuendelee kufatilia
 
Ahsante sana mkuu kwa updates, rafiki yako ngongo bado anafanya verification.

Nadhani magamba wametumia ile staili yao ya karatu dhidi ya Dr. Slaa. Wanaoshindwa hawafungui kesi wanawatuma watu wengine.

Ngoja tuone mwisho wake ingawa dalili zinaonyesha uwezekano mkubvwa wa kesi hii kutupwa kwa macho ya kawaida, ngoja tusubiri wajuvi wa sheria wataamuaje.
 
jana waliuzwa waliofungua kesi waliathirika vipi...anasema wadai hawawajibiki kueleza waliathirika namna gani...
 
anatolea mfano kesi ya 2005 Kesi ya Dr Slaa na makongoro nyerere wapiga kura hawakulalamika kuwa kura zao zilichakachuliwa anasema washitakiwa hapa sija muelewa anataka kusema nini
 
anasema katika kesi hizo zote hakuna hata kesi moja walitakiwa kuleta ushahidi..
 
Bahati mbaya niko nje ya mkoa lakini niko well represented.

Ahsante sana mkuu kwa updates, rafiki yako ngongo bado anafanya verification.

Nadhani magamba wametumia ile staili yao ya karatu dhidi ya Dr. Slaa. Wanaoshindwa hawafungui kesi wanawatuma watu wengine.

Ngoja tuone mwisho wake ingawa dalili zinaonyesha uwezekano mkubvwa wa kesi hii kutupwa kwa macho ya kawaida, ngoja tusubiri wajuvi wa sheria wataamuaje.
 
Craswise vipi hujanywa supu ebu toa maelezo sawa sawa.

anatolea mfano kesi ya 2005 Kesi ya Dr Slaa na makongoro nyerere wapiga kura hawakulalamika kuwa kura zao zilichakachuliwa anasema washitakiwa hapa sija muelewa anataka kusema nini
 
<font size="3"><span style="font-family: lucida console"><b>Heshima Crashwise.<br />
<br />
Hivi wewe ni Mtanzania kweli ?.Unaposema kifungu na 11 cha sheria za uchaguzi inamapungufu una maana gani ?.</b></span></font>
unataka uraia wangu, au unashangaa mimi kutokujua sheria, mimi naandika kinachosemwa na wakili wenu na jaji..
 
<font size="3"><span style="font-family: lucida console"><b>Craswise vipi hujanywa supu ebu toa maelezo sawa sawa.</b></span></font>
supu inaingia je..nilisha kwambia niletee familia yako nikulelee...harafu huyu wakili wenu ni kama wewe maneno mengi cha maana mpaka sasa bado sijaona ingawa kishelia mimi naweza pata 2/10
 
wakili wa ccm anasema kutokuja kwa batilda mahakamani haiwaondolei wateja wake kuja mahakamani, haijalishi wako wangapi..
 
Back
Top Bottom