Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,213
- 10,940
Ninachojua ukifanya dharau kwa mahakama, in contempt', hakimu anakuweka ndani. Sasa hii imekaa aje?Kama alifanya dharau kwenye mahakama basi hafai kuwa wakili.
Mkuu wa mhimili wa mahakama sio mwanasheria mkuu bali ni jaji mkuu. Ninachoelewa mwanasheria mkuu yuko chini ya rais, hivyo ni mihimili tofauti na wa mahakama.