Kamati ya Maadili ya Mawakili yaahirisha kusikiliza kesi ya Jebra na Shilatu

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Agosti 10, 2020 Mwanasheria Mkuu wa Serikali alifungua kesi dhidi ya Mawakili Jebra Kambole na Edson Kitalu akitaka wafutwe Uwakili kwa madai ya kudharau Mahakama.

Kamati ya Maadili ya Mawakili ilitangaza kukaa na kujadili kesi huyo Machi 15, 2021 lakini wameahirisha kusikiliza kesi hiyo hadi Machi 19, 2021 kwa kuwa akidi ya kamati haikutimia.

Mawakili Jebra Kambole na Edson Kilatu wanatuhumiwa kuidharau Mahakama kinyume na Maadili ya Mawakili.

Kambole.jpg
 
Back
Top Bottom