Kesi ya Jebra Kambole na Kilatu ya kufutwa uwakili itaanza kujadiliwa kesho tarehe 15/03/2021

Yuko wakili mmoja muhaya anaitwa Kamugisha anaendesha daladala lake.

Mawakili wadogo wadogo huwa wanamfuata awagongee nini sijui, wanamuitaga kamishna.

Wanaviziaga vituoni!
Uko sahihi, wanamaanisha Kamishna wa Viapo (Commissioner for Oaths). Mimi naamini kwamba kuwa Wakili ni jambo moja, na ku-survive kwenye game ni jambo lingine, ingawa ukijituma kufanikiwa ni kwepesi sana.
 
Back
Top Bottom