Kesi ya Jebra Kambole na Kilatu ya kufutwa uwakili itaanza kujadiliwa kesho tarehe 15/03/2021

Kama alifanya dharau kwenye mahakama basi hafai kuwa wakili.
Ninachojua ukifanya dharau kwa mahakama, in contempt', hakimu anakuweka ndani. Sasa hii imekaa aje?

Mkuu wa mhimili wa mahakama sio mwanasheria mkuu bali ni jaji mkuu. Ninachoelewa mwanasheria mkuu yuko chini ya rais, hivyo ni mihimili tofauti na wa mahakama.
 
Hivi uwakili ni kazi kabisa mtu anaitegemea maishani?

Au ni kazi ya ziada!
Ni kazi mkuu. Tena yenye pesa za kutosha. Mshahara wako wa mwezi mzima wakili anaweza kuupata kwenye kakesi kamoja kadogo kama ka kumuombea mtu dhamana tu. Tena ukiwa kwenye miji mikubwa na uzoefu kazini (kwa maana ya kufahamika) kama ndugu Jebra, anaweza kupata mara mbili ya mshahara wako kwenye kakesi ka namna hiyo.

Kwa kifupi, wakili ni lazima apate hela kila siku, kwa mfano kuna vikazi kama attestation, certification n.k, bilashaka na wewe wakati unatafuta kazi ulienda kwa wakili/hakimu ili a-certify vyeti vyako; na ndiyo maana wakati mwingine matumizi yetu yanakuwa ya hovyo kwasababu najua na kesho nitapata tena.
 
I guess wewee ni advocate
 
View attachment 1725948

Mwanasheria Mkuu wa Serikali alifungua kesi dhidi ya Jebra Kambole na Edson Kitalu akitaka wafutwe Uwakili kwa madai ya kudharau Mahakama kinyume na maadili ya Mawakili.

Kamati ya Maadili ya Mawakili inatarajia kukaa Machi 15, 2021 kujadili tuhuma zinazowakabili ambazo zilifunguliwa Agosti 10, 2020.
Huyu Wakili Msomi, anafanya mambo ya kitoto sana. Utasambazaje Document ya Kimahakama kwenye mitandao na tena ikiwa na signature yako?
 
Kwahiyo akifutiwa uwakili atakuwa maskini au atakufa njaa?
 
Walianza na shangazi wetu wa taifa wakili msomi Fatma Karume sijui ni nani atafuatia baada ya kina Jebra Kambole na mwenzie.

Hawa mawakili wote waliokuwa ama wanafanya kazi zao za kiwakili kama za kina Peter Kibatala kutetea wateja wao ambao imetokea tu mbali ya kuwa waTanzania lakini kwa vile wateja ni wa kambi ya upinzani au kupigania demokrasia na tafsiri sahihi ya katiba inaonekana kama vile wanalengwa na mkakati maalum a.k.a the purge.

Ngoja tufuatilie nani mwingine atatuhumiwa kukiuka 'maadili' na kufutiwa leseni za uwakili ili tupate picha halisi ya nini kilicho nyuma ya zoezi hili na kulielewa ni kweli wamekiuka maadili au ni mkakati mwingine maalum.
Nadhani ungeweka makosa yake ya kudharau mahakama kwanza badala ya kulia lia
 
Kufa njaa siyo rahisi sana kwa mtu kama Jebra kwasababu ya jina lake, ila wakili mwingine mchanga anaweza akapoteana asipokuwa makini.
Yuko wakili mmoja muhaya anaitwa Kamugisha anaendesha daladala lake.

Mawakili wadogo wadogo huwa wanamfuata awagongee nini sijui, wanamuitaga kamishna.

Wanaviziaga vituoni!
 
Walianza na shangazi wetu wa taifa wakili msomi Fatma Karume sijui ni nani atafuatia baada ya kina Jebra Kambole na mwenzie.

Hawa mawakili wote waliokuwa ama wanafanya kazi zao za kiwakili kama za kina Peter Kibatala kutetea wateja wao ambao imetokea tu mbali ya kuwa waTanzania lakini kwa vile wateja ni wa kambi ya upinzani au kupigania demokrasia na tafsiri sahihi ya katiba inaonekana kama vile wanalengwa na mkakati maalum a.k.a the purge.

Ngoja tufuatilie nani mwingine atatuhumiwa kukiuka 'maadili' na kufutiwa leseni za uwakili ili tupate picha halisi ya nini kilicho nyuma ya zoezi hili na kulielewa ni kweli wamekiuka maadili au ni mkakati mwingine maalum.
Hahaha mkuu kiswahili chako kama cha wahindi wanpale aga khan
"Shangazi wetu" hii sio sawa bali ni shangazi yetu /yenu
 
Huyu Wakili Msomi, anafanya mambo ya kitoto sana. Utasambazaje Document ya Kimahakama kwenye mitandao na tena ikiwa na signature yako?
Ule ni wito, umeelekezwa kwake kwa anuani yake, ni barua yake ana haki ya kufanya nayo chochote.

Halafu mkuu wito sio kitu cha kuficha ficha au cha siri, huwa unatolewa na mahakama mpaka magazetini kila mmoja auone.
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali alifungua kesi dhidi ya Jebra Kambole na Edson Kitalu akitaka wafutwe Uwakili kwa madai ya kudharau Mahakama kinyume na maadili ya Mawakili.

Kamati ya Maadili ya Mawakili inatarajia kukaa Machi 15, 2021 kujadili tuhuma zinazowakabili ambazo zilifunguliwa Agosti 10, 2020.
Duh, mijitu ina roho mbaya
 
Back
Top Bottom