S. S. Phares
JF-Expert Member
- Nov 27, 2006
- 2,138
- 82
Huyo Mama akifungua kesi ya kubakwa itamuweka Mahita katika wakati mgumu sana.
1) Mahakama ina wajibu na ulazima wa kuhakikisha kama huyo mtoto kweli ni wa mdaiwa/mshitakiwa re Mahita. Hivyo mahakama inapaswa kutoa amri mdaiwa akapimwe ikiwa mdaiwa anakataa kupima i.e. dna test.
1)ama hukumu ndiyo hiyo iliyotolewa, basi mahakama iliridhika na matokeo ya test iliyofanyika.
1)Tusisahau kwamba katika kesi zinazowahusisha watu wenye public profile kama Mahita, details nyingi za kesi hiyo nazo kwa kiasi kukubwa zinakuwa kwenye public eye; nyingine huwa ni za aibu kwani zilifanywa faragha - sasa zinakuwa public - kinyume na hulka na staha ya binadamu.
1)Sasa pointi ni kwamba mshitakiwa ana familia - mke, watoto, wazazi, ndugu - ambao wote ghafla wanalazimika kushuhudia mambo aliyofanya baba/mume yao/wao hadharani. Moyo wangu unalenga watoto wake na mke wake, ambao katika scenario hii wanakuwa "collateral damage" ya vyombo vya habari.
1)Kwa kweli katika compassionate society hawa watu wanapaswa kufikiriwa re suffering ambayo wata-go through katika hii sakata yote hadi itakapokwisha.
1)Tusisahau pia kwamba kuna ki-changa ambacho wakati huu wote huenda kinapata shida; japokuwa hii ni regrettable & unnecessary na imesababishwa na pig-headed behaviour ya mshitakiwa/mdaiwa.
1)Ninachotaka kusema ni kwamba, tujaribu kujenga jamii yenye compassion, inayofikiria na kujali victims halisi i.e. watoto na mama/baba katika kesi za namna hii.
Nadhani jamaa alitegemea kutumia ujiko wake kuzima hiyo kesi. Hana maana kabisa na amejidhalilisha. Angekuwa mjanja angechomoa kesi mapema na kumaliza kila kitu uani. Sasa ameanika mchele barazani na ndege wako kibao. Mahakama zetu nazo zinatia huruma. Ilikuwaje akakataa kufanya paternity test? Napandwa na hasira hadi natamani niende nikampime mwenyewe!
Very nice cause the law is standing in the right side.Absolutely Mahita is the responsible one.And that is an example to those who run after problems.I real impressed by that news.I advise for parents to show good care to their children
hawezi kuripoti kwa mama mwenye nyumba mara moja kwa kuhofia ajira yake kwa wakati ule!!!!Angekuwa Masati hapo angemwachia huru Mahita, akiuliza kwanini binti hakuripoti kwa mama mwenye nyumba labda.
1. Amhakikishie elimu katika shule na vyuo vinavyotambulika. Kipimo kiwe shule walizosoma wanawe wengine na uwezo alionao sasa hivi.
2. Amgharamie malipo yote ya tiba hadi hapo atakapokuwa mtu mzima.
3. Amhakikishie makazi yenye hadhi anayostahili.
4. Malipo yake kwa mwezi yahakikishe kuwa anaweza kupata mavazi, chakula na usafiri wa hakika na wa hadhi anayostahili.
Kama Mahita atafariki, huduma hizi aendelee kupata kutoka katika urithi wa baba yake.
Hako ka laki moja ni pesa ya peremende na big G !
Amandla........
huyu nae ni walewale,mzee we unao wangapi huko mtaani?maana naona umekurupuka kusikia urithi,matunzo,malezi unamtetea mahita tuambie bwanaMtoto wa zinaa astahiki hata kidogo kupata urithi. Hilo ni jukumu la mama yake kumlea na kumtunza.
mama amejidhalilisha na amethalilisha mtoto wake. sasa sijui kama mtoto ataweza kusoma. unajuwa atakuwa ame athirika kisaikolojia kuhusu kadhia nzima.
Huyu ni mstaafu..hana pesa hata ya kulipia kipimo cha DNA -
Mtoto wa zinaa astahiki hata kidogo kupata urithi. Hilo ni jukumu la mama yake kumlea na kumtunza.

Hayo ni matunda ya uongozi wa JMK, bado hatuyaoni?