Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 3,833
- 2,790
Kwani mtu akikaidi amri ya mahakama atafanywa nini ?
Kinatolewa kibali cha kumkamata! kwa lugha nyingine angepaswa kuwa amekamatwa ama anatafutwa.. in case haonekani.
Mahita akubali tu, mtoto kafanana naye hadi mashavu.
hadi miskio ..lol
Duh, bwana mbona unasema ukweli, wewe na Sikonge. Jamani! Mahita muuaji!
Pengine Mahita hajafanya hasa hayo mambo lakini, Mw'Mungu anamfedhehesha tu kutokana na ubabe na uhuni na mauwaji ya watu wasio na hatia alipokuwa IGP