Poke mkuu.Kusema kweli najisikia vibaya kusoma hii story, hata huyo mama aliyewabeba watoto kuwapeleka watoto muhimbili na wakamfia mkononi namjua,sipendi kukumbuka kabisa.
Poke mkuu.Kusema kweli najisikia vibaya kusoma hii story, hata huyo mama aliyewabeba watoto kuwapeleka watoto muhimbili na wakamfia mkononi namjua,sipendi kukumbuka kabisa.
NJOO TOA POLE MAMA KAFA UKWELIIMtambuzi wewe ni hazina na muhimu sana..nimejifunza jambo mwanana sana..asantii
MAMAAA ALIACHIWA AMEFARIKI JANA RASMI KWAMAPENZI YAMUNGUMkuu Mtambuzi nimesahau kuuliza, kwa hiyo hiyo hukumu ilishatekelezwa? Au mama bado yuko jela, au alifariki natural death? Na kama alifariki natural death alifia jela au wapi? Samahani, ni OP kidogo.
Mkuu kweli, mbona hata vyombo vya habari sijapata kusikia wakiliiongelea hili?MAMAAA ALIACHIWA AMEFARIKI JANA RASMI KWAMAPENZI YAMUNGU
Amefariki Mpwaa arushaaMkuu kweli, mbona hata vyombo vya habari sijapata kusikia wakiliiongelea hili?
KUNANUZI WA KIFO CHA MAZAMkuu kweli, mbona hata vyombo vya habari sijapata kusikia wakiliiongelea hili?
ngoja niutafute mpwa, walau nitoe pole tu.KUNANUZI WA KIFO CHA MAZA
Amefariki Mpwaa arushaa
Amen MPWA MCHANGO WA. MSIBA KWA JF NAENDELEA KUKUSANYA UNAWEZA N...ngoja niutafute mpwa, walau nitoe pole tu.
May her soul rest in warmly place.
Hatuna watu wa Film Tanzania wakawa wanatutengenezea short documentaries za matukio kama haya alafu yanatafutiwa slot kwenye tv walau mara moja kwa wiki?
Sawa mkuu ila haka ka tabia ka ulaji wa rambi rambi zataifa kalikoanziajuu ndiokananipaukakasi wakukuaminiAmen MPWA MCHANGO WA. MSIBA KWA JF NAENDELEA KUKUSANYA UNAWEZA N...
Jamani huyu mama bado yupo au naye alikwishafariki???
Ooh so pole kwa familia...amekufa leo