Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,729
- 5,637
Haya maandamano,mambo haya ni hatari sana.
Watanzania wanataka amani.
Vijana wanataka kuchoma moto nchi.
Tufanye nini?
Tuwaombe vijana. Mambo wanayowaza siyo sawa. Wanaondoa umoja wa kitaifa kwa kusema kwamba wanataka kuandamana.
Acha Serikali iseme kwamba atakayeandama atakiona cha mtema kuni.
Sisi tunawaomba tu vijana wasilete fujo,haya ni mambo yanaweza kujadiliwa,ni matatizo yanazungumzika.
Nani kateswa,nani sijui kalawitiwa. Haya mambo tuyaongee tu. Tutaoata suluhu.