Kesho Ubungo mataa saa tatu asubuhi

Kesho Ubungo mataa saa tatu asubuhi

Maandamano ya nini..? yana lengo gani?? Ubungo mataa saa ngapi?? kuelekea wapi??? watu mnakurupuka hata kuchamba hamchambi mnatuandikia *****..ningekua mod mngejuta kuzaliwa..mppssxxyy

Asante wewe unayewaandalia watumiao sehemu safi ila sijakurupuka
 
Mwanaharakatihuru najua unatamani uwe na uwezo wa kuhamasihsa na kufanikiwa kufanya hivyo. Unajua walichofanya kaskazini mwa Afrika, hebu kafanye utafiti, then urudi ujaribu tena. Just a hint, lazima uwe na legitimacy ya kuandaa, na vyombo vya habari ni sawa, ni muhimu sana katika kukuza maandamani. Kwanza inaandikwa petition, inaweza kuwa ya email, karatasi au sms (siku hizi simu zimesajiliwa so wanaweza kutafuta source). Na pia lazima kuwe naUjumbe au theme ya maandamano yenye kuwavuta wengi.
 
Wabongo wengi ni kama mwanamke mwenye kutaka mtoto lakini anaogopa kitombo,mnataman maandamano ya kuwang'oa watawala lakin mnaogopa Kichapo cha kina kova!
 
mambo yakiendelea hivi, sisi wengine tutaihama jamii forums! thread zisizokua na mashiko zinaandikwa kama......... wote tutaonekana wajinga. lengo la jamii forums nadhani ni kutufanya tutumie ubongo kuchambua matatizo yanayotukabili hapa nchini na tufanyeje kuyatatua...
kabisa ........ nadhani mods wangeweka sheria ya umri gani mtu anatakiwa kujiunga JF mana under 18 inaelekea wapo wengi sana uku.
 
Kwa hali kama hii, mnaiharibu jf. Haya mambo nusu nusu yatia hasira tu!!!!
 
mhhh wanaandamania kitu gani?


asee tangu gambe limepandishwa bei watu wamehamia kwenye viroba wamechcanganyikiwa
make viroba vyenyewe magumashi
 
Wana JF nafikiri mmesahau, hawa ndiyo wale wenye kigazeti fulani kinachotoka mara mbili kwa wiki pale manzese, walishasema wataandaa maandamano makubwa TZ ambayo hayajawahi kutokea, wakishinikiza kigogo wa taasisi fulani ajiuzulu pamoja na suala la dodoso fulani kutokidhi vigezo vyao.

Nafikiri wazee wa Central wamesikia.
 
duuuhhh ikawa asubuhi ikawa jioni siku 1,2............mwaka lazima mtu akae sis waskatonge sijui itakuwaje
 
Back
Top Bottom