Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,722
- 45,130
Kesho nipo Senegal
Tehe teh teh teh! 😂😂😂 Mkuu unaona haiwezekani kabisa.Kesho kuifunga Senegal ni ngumu kuliko Mgambo wa Jiji letu kuteka ndege za kivita za Marekani
Mijitu kama wewe unashindwa hata cha kulitusiMlipogeuza timu ya Taifa kuwa timu ya Chama mlitegemea nini? Ni lipi ambalo CCM imeisaidia Taifa stars hadi muigeuze kuwa timu ya Chama?
Nyie watanganyika ni malofa sana maana mmeaminishwa uzalendo ni kujipa matumaini hewa au?.cha muhimu ni kuishabikia timu isijalishe sijui makonda,polepole ,sijui magufuli wameteka timuTimu yetu ya Taifa (Taifa Stars)Kesho ipate ushindi wowote ule dhidi ya Senegal,hata suluhu na kichwa cha habari hapo juu kinakwenda kutimia.
Hapa nilipo niko na Waburundi,Wazimbambwe,Waganda,Wakenya,WaSouthAfrica wenyewe bila kusahau Nigerians....Jamaa hawaongelei negative kuhusu timu zao za Taifa kabisa na unafiki/hypocrite kwao ni Ugonjwa.
Wachezaji waligoma wamepewa dola 75 badala ya 300 posho
Ni kweli! Ila tumejiandaa vizuri hivyo hamna haja ya kuwa na wasiwasi.
DuuhKesho tunachapwa tu.
Enzi za akina Nsajigwa, SMG, Mapunda chini ya Maximo tulilambwa 5 kwa bila..
Hii historia tunaisubiri tena kesho
Hivi nyie watu mbona mnakuwa Ma Hayawani kiasi hiki? Aliyesema Timu ya taifa ni ya chama ni nani mkuu. Usipende kufuata mkumbo kwa vitu usivyokuwa na uhakika navyo. Alafu tumelikumbatia pepo LA chuki kila nyanja, hivi kweli tutafika? Mwenyezi Mungu tunaomba utuponye na huu uovu wa chuki. Pepo chuki hebu ondoka katika vichwa vya watz na upendo na Amani vitamalaki miongoni mwetu na sote tuseme na iwe hivyo.Mlipogeuza timu ya Taifa kuwa timu ya Chama mlitegemea nini? Ni lipi ambalo CCM imeisaidia Taifa stars hadi muigeuze kuwa timu ya Chama?
Amen 🙏🙏🙏..!Mwenyezi Mungu tunaomba utuponye na huu uovu wa chuki. Pepo chuki hebu ondoka katika vichwa vya watz na upendo na Amani vitamalaki miongoni mwetu na sote tuseme na iwe hivyo.
Hivi nyie watu mbona mnakuwa Ma Hayawani kiasi hiki? Aliyesema Timu ya taifa ni ya chama ni nani mkuu. Usipende kufuata mkumbo kwa vitu usivyokuwa na uhakika navyo. Alafu tumelikumbatia pepo LA chuki kila nyanja, hivi kweli tutafika? Mwenyezi Mungu tunaomba utuponye na huu uovu wa chuki. Pepo chuki hebu ondoka katika vichwa vya watz na upendo na Amani vitamalaki miongoni mwetu na sote tuseme na iwe hivyo.