Kesho ndio tunaenda kuufahamu unafiki wa baadhi ya watanzania

Rural Swagga

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,575
2,000
Timu yetu ya Taifa (Taifa Stars)Kesho ipate ushindi wowote ule dhidi ya Senegal,hata suluhu na kichwa cha habari hapo juu kinakwenda kutimia.
Hapa nilipo niko na Waburundi,Wazimbambwe,Waganda,Wakenya,WaSouthAfrica wenyewe bila kusahau Nigerians....Jamaa hawaongelei negative kuhusu timu zao za Taifa kabisa na unafiki/hypocrite kwao ni Ugonjwa.
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
12,568

Lawama apewe Bashite na Msomali wa TFF
 
Rural Swagga

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,575
2,000
Mlipogeuza timu ya Taifa kuwa timu ya Chama mlitegemea nini? Ni lipi ambalo CCM imeisaidia Taifa stars hadi muigeuze kuwa timu ya Chama?
Ujumbe umewafikia...
Kwa upande wangu sijawahi kushabikia siasa na sina chama cha siasa ambacho mimi ni mwanachama..mimi napenda mpira napenda Timu yangu ya Taifa la Tanzania ifanye vizuri Afcon...Kinachonishangaza kila kwenye mitandao ya kijamii asilimia kubwa ya Watanzania ni kama hawaiombei mazuri timu ya Taifa....Je kesho tukishinda itakuaje????
 
mwanadome

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,644
2,000
Timu yetu ya Taifa (Taifa Stars)Kesho ipate ushindi wowote ule dhidi ya Senegal,hata suluhu na kichwa cha habari hapo juu kinakwenda kutimia.
Hapa nilipo niko na Waburundi,Wazimbambwe,Waganda,Wakenya,WaSouthAfrica wenyewe bila kusahau Nigerians....Jamaa hawaongelei negative kuhusu timu zao za Taifa kabisa na unafiki/hypocrite kwao ni Ugonjwa.
Wanapoinasibisha stars na polepole ndipo shida inapo anzia.
 
champline

Senior Member
Dec 3, 2018
181
250
Tatizo ni Siasa na Mifumo ya uongozi ndugu yangu...

Siasa zikiwa fyongo usitarajie UZALENDO.

Alafu usituamulie.
Kwa hiyo huko kwingine kote kwenye siasa wao wako poa kabisa,jinga kweli wewe.unajua hata Kama Somalia wangekuwa misri wote wangeungana kushangilia nchi yao licha ya matatizo kibao yanayowakumba!!yaani kilichomo kwenye vichwa vya watanzania ni Mungu tu ndio anajua
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
24,165
2,000
Mie naombea tushinde ila ningekuwa mcheza kamari nisinge bet upande wa Taifa stars hata mechi za kirafiki

Kesho kuifunga Senegal ni ngumu kuliko Mgambo wa Jiji letu kuteka ndege za kivita za Marekani

Sasa hivi Kambi ya Stars wanajadili panga la kutoka dola 300 mpaka 75 sio mambo ya mechi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom