Kesho nchi itasimama, CC ya CHADEMA itakutana!

Huyo katibu mkuu aondolewe kiroho safi. Mbowe ajitathmini na sio vibaya akiweka mazingira ya kukabidhi kijiti kwa mwingine huko mbeleni.
 
Tunangojea kwa hamu hayo matokeo ya hicho kikao.

Yasije yakawa yale yale maneno makali ya dakika 15 ya kila siku, na baadaye yanakuwa kumbukumbu tuu za MOM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda kama wataazimia kumrudisha Nassari Arumeru Mashariki kwa mabavu.
 
Watu wa SACCOS ya Kaskazini kwa kujidanganya wenyewe hamjambo,nchi isimame kwa lipi?haikusimama mlipobadiri gia angani,haikusimama Maalimu alipoenda kwa Zitto na kumuacha solemba Mbowe,nchi haijasimama bwana risasi 16 alipoenda BBC na kuzurura viwannja huko US,haikusimama Mwenyekiti wa kudumu wa SACCOS aliposwekwa ndani,halafu ije isimima leo kwa vikao vya kunywa kahawa.mnachekesha sana bana.
 
Wananchi hatutarajii kusikia malalamiko na matamko yasiyo kuwa na matendo.
Mutoke na suluhisho na si malalamiko.
 
Haha watu wa SACCOS ya Kaskazini chini ya mwenyekiti wao hawana lolote sasa wameanza kujikomba na kumbebembeleza mwenyekiti wa VICOBA cha Ujiji ili ajiunge nao wapate ruzuku kutoka kwa Waomani wa Pemba,sasa watamsahau Mbatia na kumuona Zitto na Maalimu lulu ,halafuYericko ndio analeta ujinga hapa eti nchi itasimama baada ya SACCOS kuipigia magoti VICOBA ya Ujiji.
 
😱😱😱 Nchii nayo ijua mimi, Kikao cha CC CDM ni sawa na kikao cha harusi tu, hakina madhara zaidi ya kujidili ndevu za Sultana Mbowe na Manywele karudi kwao very sad indeed!!!
 
😱😱😱 Nchii nayo ijua mimi, Kikao cha CC CDM ni sawa na kikao cha harusi tu, hakina madhara zaidi ya kujidili ndevu za Sultana Mbowe na Manywele karudi kwao very sad indeed!!!
 
Angalia Lugola asije sema amepata taarifa vijana wa ccm wamepanga kufanya vurugu hivyo kikao kimesitishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…