Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
- Thread starter
- #21
Yaani pumbavu kabisa watoto wamekuwa wengi siku hizi
Utoto upo wap hapo??
Yaani pumbavu kabisa watoto wamekuwa wengi siku hizi
Kwa kweli tutafanyaje sasaMods waliisha bariki twendeni tu
Sijui tufanyaje kuinusuru JF.
Inabidi tuitishe kikao kwa wana JF tujadilini kuhusu haya yanayoendelea.
Acha ujinga wewe, ninyi ndio mnaofanya hata watu wenye matatizo genuine wasipate msaada humuUtoto upo wap hapo??
Acha ujinga wewe, ninyi ndio mnaofanya hata watu wenye matatizo genuine wasipate msaada humu
Sina muda wa kujadiliana na weweSpecify
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wazee ushaurini wenu kesho naenda kutambulishwa ukweni kwa mara ya kwanza kabisa.
Nipeni ushauri hapa.
Nivae Tisheti ya NMB au CRDB?
Sina muda wa kujadiliana na wewe
Rombo?Uchagan mkuu
Mkuu, uliwahi kuona haja kubwa ikijingonga kwenye fen... Nakushauri uende na ndoo ya maji...[emoji28][emoji28]Wazee ushaurini wenu kesho naenda kutambulishwa ukweni kwa mara ya kwanza kabisa.
Nipeni ushauri hapa.
Nivae Tisheti ya NMB au CRDB?
Kuna upuuzi unaokubalika humu JF.
Huu wa kwako hawajaupenda.