Kesho naenda kupima UKIMWI dua zenu nyingi

Kesho naenda kupima UKIMWI dua zenu nyingi

Kama kichwa cha habari kinavyosadifu kitakachojiri kesho ndugu zangu...!!
'dua zenu muhim'
Ni sababu ya hiyo safari, ni shinikizo au tayari ni mama kijacho,hata sijui wewe ni me au ke?.

Ushauri wa Bure Ukikuta uko neg usifurahie mpaka utakapata tena majibu mengine mara baada ya miezi mitatu
 
Dua za nini ? Raha ulikura mwenyewe kapambane huko beba leso ukjifute kijasho cha muhaho
 
Wanaume wengi wanapima ngoma kupitia wake zao hasa wakienda clinik. Mke akikutwa mzima na mwanaume naye anapigia mstari kuwa na yeye ni mzima.
 
Back
Top Bottom