Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,602
Inashauriwa kurudi baada ya miezi 3 ndo unaweza ku confirmNimekipata tyr majibu yako poa alhamdu lilah.
Inashauriwa kurudi baada ya miezi 3 ndo unaweza ku confirmNimekipata tyr majibu yako poa alhamdu lilah.
ukimwi balaa ndugu yangu although Kisukari nacho kimbembeKwa nn umeuliza hili swali???
Hii kaliMkuu ukijiandaa unaweza hairisha
Mwenzako nlishitukizwa tu
Navyoendelea kuwaza akasha nchoma kisindano natak kukimbia majibu yakatoka
Mimi mbona sijawahi kutolewa damu hapoTemeke hospital.View attachment 1797281View attachment 1797282
Kama hua hawakutoi damu,hua wanakutoa mate ndio wanayapima?Mimi mbona sijawahi kutolewa damu hapo
NdioKama hua hawakutoi damu,hua wanakutoa mate ndio wanayapima?
😎😎
Hii kali
Nchi gani wanayohitaji vipimo vya HIV?Shukran jazira