Kuna mtu alimzingua jana walipoachana akamwambia amemuambikizaUnapimaje ugonjwa usio na tiba? Kuna sababu gani inakufanya ukapime?
Mbona hakuna feedback yoyote mkuuKama kichwa cha habari kinavyosadifu kitakachojiri kesho ndugu zangu...!!
'dua zenu muhim'
Usiogope uzingatie dawa na upunguze kuambukiza wengineKama kichwa cha habari kinavyosadifu kitakachojiri kesho ndugu zangu...!!
'dua zenu muhim'
Kisukari kinaambukizwa??Mkuu, kisukari (Diabetes) kinatisha kuliko UKIMWI
Unachokitafuta utakipata.Kama kichwa cha habari kinavyosadifu kitakachojiri kesho ndugu zangu...!!
'dua zenu muhim'
Vizuri mkuuTemeke hospital.View attachment 1797281View attachment 1797282