Kesho naenda kuoa lakini nina laki 2 tu

Kesho naenda kuoa lakini nina laki 2 tu

Ntapata dhambi bure. Mtu ana mil 2 anataka akaoe? Si anataka amchukue mtoto wa watu akamtese? Siwezi kuunga mkono jambo hilo. Unapooa angalau kwenye account usikose 50,000,000 ina zagaa zagaa tu.
[emoji16][emoji16] [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Aiseeeeeeee
 
Back
Top Bottom