Kesho naenda kuoa lakini nina laki 2 tu

Kesho naenda kuoa lakini nina laki 2 tu

Hahaha,, sasa we zero usije ukaenda huko ukaambiwa ulipie garama za kuandaa sherehe kama jamaa mmoja hivi kutoka kwenye uzi wake humu kwanza unaenda kuoa Kabila gani tujue mapema
[emoji16][emoji16][emoji16] sitoboi
 
Wakuu ile kukuru kakala na mtoto wa diwani atimae siku ndio imefika,
Baada ya kusota sana central na kulazimishwa kumuoa atimae kesho ndio siku yenyewe,

Kesho ndio siku iliyopangwa nikatoe mahali,
Posa tayari nilitoa 50k kwenye bahasha na tulipangiwa siku ya kwenda na mahali ambayo ni 1.5 milioni,

Mpaka leo hii ninayozungumzia pesa niliyonayo ambayo haina kazi na ndio ninayoweza kuitumia kwenye mahali ni 200k(laki mbili Cash),

Na siku ni kesho Nasubiria ikifika niende nayo nikamkope mtoto wao na hiyo nitoe kama advance tu sijui kama watanielewa,

Cc Zero IQ
Mbona nyingi sana boss

Usijali utapata mke
 
Mbona hujasema tukusindikize? Halafu nipo dom nakitafuta kijiwe chako nije kula chips sikioni
 
Ndugu mtangazaji tayari umeshajikana?? Maana kuoa sijambo dogo, yale yote makadharika inabidi uyangalie kwa jicho la wizi au uishie kuyatamani. Vipi lile lijimama lako shombeshombe ulilipa taarifa na limeridhia kutua mzigo.
 
Ndugu mtangazaji tayari umeshajikana?? Maana kuoa sijambo dogo, yale yote makadharika inabidi uyangalie kwa jicho la wizi au uishie kuyatamani. Vipi lile linimama lako shombeshombe ulilipa taarifa na limeridhia kutua mzigo.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji125]
 
Back
Top Bottom