Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,737
mjukuu wangu zero hivi ushawah kugegedwa?Wakuu ile kukuru kakala na mtoto wa diwani atimae siku ndio imefika,
Baada ya kusota sana central na kulazimishwa kumuoa atimae kesho ndio siku yenyewe,
Kesho ndio siku iliyopangwa nikatoe mahali,
Posa tayari nilitoa 50k kwenye bahasha na tulipangiwa siku ya kwenda na mahali ambayo ni 1.5 milioni,
Mpaka leo hii ninayozungumzia pesa niliyonayo ambayo haina kazi na ndio ninayoweza kuitumia kwenye mahali ni 200k(laki mbili Cash),
Na siku ni kesho Nasubiria ikifika niende nayo nikamkope mtoto wao na hiyo nitoe kama advance tu sijui kama watanielewa,
Cc Zero IQ
mjukuu wangu zero hivi ushawah kugegedwa?
Zero IQ ukaoe itakuwa ni dhahama kabisaa maana unavyojua kuzigonga mbunye utamsumbua mtoto wa watuWakuu ile kukuru kakala na mtoto wa diwani atimae siku ndio imefika,
Baada ya kusota sana central na kulazimishwa kumuoa atimae kesho ndio siku yenyewe,
Kesho ndio siku iliyopangwa nikatoe mahali,
Posa tayari nilitoa 50k kwenye bahasha na tulipangiwa siku ya kwenda na mahali ambayo ni 1.5 milioni,
Mpaka leo hii ninayozungumzia pesa niliyonayo ambayo haina kazi na ndio ninayoweza kuitumia kwenye mahali ni 200k(laki mbili Cash),
Na siku ni kesho Nasubiria ikifika niende nayo nikamkope mtoto wao na hiyo nitoe kama advance tu sijui kama watanielewa,
Cc Zero IQ
Dish lako limeyumba arifuBado ya nauli nitatoa hapo hapo ya kwenda na kurudi mkuu
Nakuja maana hii chai ni balaaNjoo na mkate ugongee
[emoji849][emoji849][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Bado ya nauli nitatoa hapo hapo ya kwenda na kurudi mkuu