Kesho mechi moja ndani ya viwanja viwili tofauti.

I was done sana nilikuwa siwezi kulipia logdge bila kuwa na mizigo miwili especially demu akiwa wa kuja mchana na kurud nimewatafuna sana ila now nimeachs
 
Kiulaini kesho nagonga ngozi mbili tofauti itakuwa ni masaa tu,

Mmoja atakuja saa nne mpaka kumi jioni mwingine saa 12 mpka 4 usiku.

Kitu nilichofanya kwanza ni kupiga joging kwa wiki nzima kutafuta pumzi ya kujiandaa na hizo game,

Pili kunywa maji mengi kufanya mzunguko wa damu ukae sawa.

Tatu sasa najiona niko vizuri kuanza pambano langu litakalopigwa kesho kwenye viwanja viwili tofauti.

Wadau niongezee nini zaidi ili niwez kumudu mapambano yangu yote mawili kwa dakika 120 nikiongeza na zile 30 za ziada.

.
Mwisho msiogope wanaume wenzangu wa mkoani nawahaidi kutowaangusha kamwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua tikiti tengeneza Juisi Yake, then Changanya Na Limao/ Ndimu Zima. Tia Asali Kijiko Kimoja, Usiweke Sukari hata Kijiko Kimoja. Kazi Yake hapo 🤣🤣🤣

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakikisha hivyo viwanja vyote vipo karibu na police station na hosptal ili ukifumaniwa tu na wake za watu unawahi huko mapema.
 
Kiulaini kesho nagonga ngozi mbili tofauti itakuwa ni masaa tu,

Mmoja atakuja saa nne mpaka kumi jioni mwingine saa 12 mpka 4 usiku.

Kitu nilichofanya kwanza ni kupiga joging kwa wiki nzima kutafuta pumzi ya kujiandaa na hizo game,

Pili kunywa maji mengi kufanya mzunguko wa damu ukae sawa.

Tatu sasa najiona niko vizuri kuanza pambano langu litakalopigwa kesho kwenye viwanja viwili tofauti.

Wadau niongezee nini zaidi ili niwez kumudu mapambano yangu yote mawili kwa dakika 120 nikiongeza na zile 30 za ziada.

.
Mwisho msiogope wanaume wenzangu wa mkoani nawahaidi kutowaangusha kamwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pepo la ngono limekutawala kijana ujue hakuna tunzo katika zinaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom