Kesho mechi moja ndani ya viwanja viwili tofauti.

Kesho mechi moja ndani ya viwanja viwili tofauti.

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,204
Kiulaini kesho nagonga ngozi mbili tofauti itakuwa ni masaa tu,

Mmoja atakuja saa nne mpaka kumi jioni mwingine saa 12 mpka 4 usiku.

Kitu nilichofanya kwanza ni kupiga joging kwa wiki nzima kutafuta pumzi ya kujiandaa na hizo game,

Pili kunywa maji mengi kufanya mzunguko wa damu ukae sawa.

Tatu sasa najiona niko vizuri kuanza pambano langu litakalopigwa kesho kwenye viwanja viwili tofauti.


Wadau niongezee nini zaidi ili niwez kumudu mapambano yangu yote mawili kwa dakika 120 nikiongeza na zile 30 za ziada.

.
Mwisho msiogope wanaume wenzangu wa mkoani nawahaidi kutowaangusha kamwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nakuona vile mwanajf unavyowasukumia nyama dada wa wenzako shubaaaaaaamit
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom