sab
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 5,744
- 4,354
Kufa ni kufa tu , ila kufa kwakujitakia nitofauti mzeee, hivyo sio mbaya uka andaa kabisa jeneza, mbona kitu cha kawaida mbona unaogopa mzeee , lolKutishana huko mkuu pliz jeneza utakutana nalo ata kama siyo kwenye mechi.
Sent using Jamii Forums mobile app