Mahole
JF-Expert Member
- May 17, 2018
- 682
- 924
Nani kakudanganyaMkuu hao ni single direct derivary from chuo sina mashaka nao kabisaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kakudanganyaMkuu hao ni single direct derivary from chuo sina mashaka nao kabisaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko makao makuu mkuu huku kwa waheshimiwa.Ninalo mkuu..vipi upo mkoa gani nikufanyie delivery usiku huu??,ili kesho usituangushe
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa
Du masaa mawili si ni kiboko hiyo mkuu ila kuna ambae ameshawahi kukomfirm kwa kuduu huku na saa pembeni mkuu isiwe chai.
Mkuu maisha ni kusaidiana,unaweza nipatia mechi moja nami wala sio wivu
Point taken mkuu kesho lazima kiwanja king'oke nyasi.Supu ya pweza mzee usisahau
Kama uko Dar au Dom nitafute nikuuzie Vumbi la Kongo usimamie shoo mpaka mtu akimbie na chupi kichwani.!Kiulaini kesho nagonga ngozi mbili tofauti itakuwa ni masaa tu,
Mmoja atakuja saa nne mpaka kumi jioni mwingine saa 12 mpka 4 usiku.
Kitu nilichofanya kwanza ni kupiga joging kwa wiki nzima kutafuta pumzi ya kujiandaa na hizo game,
Pili kunywa maji mengi kufanya mzunguko wa damu ukae sawa.
Tatu sasa najiona niko vizuri kuanza pambano langu litakalopigwa kesho kwenye viwanja viwili tofauti.
Wadau niongezee nini zaidi ili niwez kumudu mapambano yangu yote mawili kwa dakika 120 nikiongeza na zile 30 za ziada.
.
Mwisho msiogope wanaume wenzangu wa mkoani nawahaidi kutowaangusha kamwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu ,
Kutishana huko mkuu pliz jeneza utakutana nalo ata kama siyo kwenye mechi.Ukiona vipi ongeza na jeneza pia , maana huwezi jua unao kutana nao wananini mwilini mwao ambavyo vitakupata baada yakukutana nao kimwili !!!
Nitakutafuta mkuuKama uko Dar au Dom nitafute nikuuzie Vumbi la Kongo usimamie shoo mpaka mtu akimbie na chupi kichwani.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu we uko wapi?Mkuu maisha ni kusaidiana,unaweza nipatia mechi moja nami wala sio wivu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi huwa nakuwa na mechi tatu kwa wakati mmojaDu masaa mawili si ni kiboko hiyo mkuu ila kuna ambae ameshawahi kukomfirm kwa kuduu huku na saa pembeni mkuu isiwe chai.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichoandika kinasadifu jina la ID yakoKiulaini kesho nagonga ngozi mbili tofauti itakuwa ni masaa tu,