Vema tu
Wanaogopa segerea, kutolewa meno, nk.
Sahihi huko huko kwenu sisi tunataka tangazo tu na limeelewekA kwa uzuri kabisa,wee unayesubir sahihi endelea kusubir
Songea hakuna mgomo , nipo ndani ya superfeo tayari kwenda kufa njiani.
Hilo jeshi lilete hayo mabasi yake 300.
Hutakufa kwa jina la Yesu.
Magari yenyewe yamezima yote,nao wamegoma
Songea hakuna mgomo , nipo ndani ya superfeo tayari kwenda kufa njiani.
Mkajifunze pia customer care na sio kuweka gia tu. Akili za madereva uwa sizielewi kabisa, mfano anatoka kariakoo au ubungo anakuta wasafiri kibao stand anaweza asipakie au anaweza kusema hapakii anawacheka abiria kidogo then ndo anapakia, au analiweka gari pembeni kwanza watu wanapanda baadae anadai haendi ila wakikuta kituoni abiria wa kugombea wanapiga debe mpaka koo linakauka, madereva hasa wa daladala wana akili ndogo pamoja na makondakta wao.
Hutakufa kwa jina la Yesu.