kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,342
- 12,065
tunataka mikataba,na suala la kusoma kila baada ya miaka mitatu hatutaki ni wizi na unyonyaji'basi na madaktali wakasome pia kila baada miaka mitatu.na walimu nao wakasome kila ufaulu unapokuwa duni
Mkajifunze pia customer care na sio kuweka gia tu. Akili za madereva uwa sizielewi kabisa, mfano anatoka kariakoo au ubungo anakuta wasafiri kibao stand anaweza asipakie au anaweza kusema hapakii anawacheka abiria kidogo then ndo anapakia, au analiweka gari pembeni kwanza watu wanapanda baadae anadai haendi ila wakikuta kituoni abiria wa kugombea wanapiga debe mpaka koo linakauka, madereva hasa wa daladala wana akili ndogo pamoja na makondakta wao.